Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #181
Chama ni sera, imani na itikadi na sio watu, watu ni wanachama tuu watakuja na kupita, na kwa CCM Tanzania, ni itatawala milele!.Mkuu Pasco chama ni watu na sio majengo au viwanja vya kupora! Chama kikiwa na watu/viongozi wa hovyo kitaitwa chama cha hovyo na kikiwa na watu makini basi hicho ni chama bora!
P