Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #161
Mzee Mwenzangu Mkuu Chakaza, ninamaanisha Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa kwa chama kwa maana halisi ya chama cha siasa, kimezungukwa na utitiri wa mfano vyama!. Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...Mzee mwenzangu, unaweza kutufafanulia hapa unamaanisha nini unaposema CCM ndio chama pekee cha maana?
P