Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Uko sahihi kabisa. Na ndiyi maana siku zote mtaji wa ccm ni wale Watanzania wajinga, na wasio na elimu ya uraia.Ukiwa na Ubongo timamu uliobeba akili timamu zinazofanya kazi kwa utimamu wake, akili timilifu, HUWEZI KUISHABIKIA CCM.
Na kama kuna wasomi wanashabikiavhiki chama, basi ujue wanatafuta mahali pa kulishiia tu matumbo yao.