Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Huo uratibu wake unakamilika lini
Mimi naona dhamana wanayo wananchi wao ndio waamuzi wa hatma yao
Kwanza mbadala ni yupi na sidhani kama ni sawa kumuhusisha mwenyezi sabb mwaka 2030 ccm inaenda kuchukua tena kwa 80% ina maana mungu atakuwa ameshindwa kwenye uratibu wake
Dhamana ya wananchi imebakia kwenye vibwagizo vya wanasiasa.

Wananchi wamepokwa dhamana
 
Dhamana ya wananchi imebakia kwenye vibwagizo vya wanasiasa.

Wananchi wamepokwa dhamana
Kuna mdau hapo juu kasema kijani itaongoza mpaka itakapo amua kuacha yenyewe naona wanyonge tuishi tu humo maana hakuna namna tena
 
Ningependaa tu kukwambia kuwa CCM IPO na Itaendelea kuwepo na utaendelea kuiona katika maisha yako ambayo Mwenyezi MUNGU atakujalia kuishi hapa Duniani,CCm utaiacha hapa Duniani,uzao wako utaikuta na kuiacha.

CCM haina mbadala wake hapa Tanzania,haina wa kuitikisa Wala kuiyumbisha ,CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo,ndio Nguzo ya amani na utulivu wa Taifa letu, CCm Ndio Taifa lenyewe,Ndio msingi ulio shikilia Taifa letu,Huwezi ikaitenganisha CCm na Taifa letu.

CCM Itaendelea kushinda katika kila uchaguzi, Itaendelea kupita na kuchaguliwa katika kila ngazi za uongozi, Itaendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na Sera,ajenda na maono ya kiuongozi iliyonayo CCM ,Itaendelea kupewa ridhaa ya uongozi kutokana na kuaminika na watanzania juu ya Dhamira yake njema katika kuwatumikia watanzania.
 
Mkuu Msanii , asante sana kuni tag, kama Mungu amepanga CCM iondoke, hatua ya kwanza ni Mungu ataandaa kwanza mbadala wa CCM ndipo CCM iondoshwe!. Kwa mpaka hapa tulipo, bado sijaona mbadala wowote wa CCM, hivyo utasubiri sana!.

Mimi projections zangu ni kuanzia 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Usimwekee Mungu masharti na vigezo.

Njia Zake ziko juu sana, mawazo yake ni juu mno - kuliko ya kwako na mtu yeyote.

Hakuna WA kumzuia na pia hakuna CHA kumzuia Mungu akitaka kutenda.
 
Ningependaa tu kukwambia kuwa CCM IPO na Itaendelea kuwepo na utaendelea kuiona katika maisha yako ambayo Mwenyezi MUNGU atakujalia kuishi hapa Duniani,CCm utaiacha hapa Duniani,uzao wako utaikuta na kuiacha.

CCM haina mbadala wake hapa Tanzania,haina wa kuitikisa Wala kuiyumbisha ,CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo,ndio Nguzo ya amani na utulivu wa Taifa letu, CCm Ndio Taifa lenyewe,Ndio msingi ulio shikilia Taifa letu,Huwezi ikaitenganisha CCm na Taifa letu.

CCM Itaendelea kushinda katika kila uchaguzi, Itaendelea kupita na kuchaguliwa katika kila ngazi za uongozi, Itaendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na Sera,ajenda na maono ya kiuongozi iliyonayo CCM ,Itaendelea kupewa ridhaa ya uongozi kutokana na kuaminika na watanzania juu ya Dhamira yake njema katika kuwatumikia watanzania.
Leo CCM ipo , lakini haitokuwepo madarakani siku zijazo.
 
Upepo wa mabadiliko unavuma kote nchini, katiba na tume HURU tu ndio kilichobakia.
Hivi kinachoendelea tusijisahaulishe kuwa hakuna kinachoendele. Hakuna wa kuzuia hii ratiba
 
Usimwekee Mungu masharti na vigezo.

Njia Zake ziko juu sana, mawazo yake ni juu mno - kuliko ya kwako na mtu yeyote.

Hakuna WA kumzuia na pia hakuna CHA kumzuia Mungu akitaka kutenda.
Mnataka Mungu aisapoti CHADEMA? Mkiacha kutukana viumbe vyake anaweza akawafikiria. Polisi ni kiumbe cha Mungu ila nyie mnawaita Policcm. Hapo tayari mnakuwa mmekosea
 
Umofia kwenu nyote,

Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana.

Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini.

Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu ameshuka kuona madhila.ya waja wake na hakika anashusha ghadhabu yake kwa chama kinachojimilikisha nchi kwa usadidizi wa kuzimu. Nani asiyefahamu kwamba teuzi za CCM kwa asilimia kubwa zinahusisha nguvu za giza?

Mwenge wa uhuru ni cover tu, bali ni ziara ya kumuadhimisha shetani kwa sababu historia ya mwenge huo imetokana na kikao cha wachawi wanaptumia nguvu za giza.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa mrundikano wa wanajeshi wetu lwenye nafasi za juu za chama na nafasi mbalimbali za maamuzi ni kinga inayoweza kukiokoa na gharika yeyote ile. Katika kujisshau huko kimekuwa kikiwaaminisha Watanzania kuwa tatizo la kiuongozi, uadilifu na utawala siyo la chama bali ni viongozi binafsi. Hivyo cover ya kubadilisha uongozi ndani ya chama na serikali ni mkakati makini wa Deep State kuhakikisha thinktank ya nchi irubunike na kushiriki karamu ya uporaji wa haki na rasilimali za nchi kwa faida ya wachache waliomo ndani zaidi ya chama.

Pamoja na kuondoa kauli thabiti na za hekima zenye kuonesha uongozi na mamlaka kwenye vinywa vya viongozi wetu, Mungu ameondoa imani ama uaminifu baina ya wamiliki wa chama.

Kiutani utani, chama kinasimamia kampeni ya kuchafuana wenyewe kwa wenyewe. Mkakati huu ulianzia nyakati za awamu ya tatu kuelekea ya nne na awamu zinazofuatia hali inakuwa mbaya zaidi. Makada wanachafuana kwa kutengenezeana kashfa na taarifa za kuudanganya umma. Mfano mzuri tulianza kumnyang'anya uraia Jenerali Ulimwengu, na wengine walioonesha kukosoa uongozi wa juu. Ingawa dhambi ya kumfix aliyekuwa Katibu wake Mkuu Horace Kolimba inaendelea kuitafuna.

Eneo la kuchafuana sasa limekuwa rasmi na timu zinaundwa na kupewa baraka zote na wakuu wa chama kwa minajoli ya kuwafitini wanachama wanaoonekana tishio ndani ya chama. Makundi haya yamepewa majina kadha wa kadha kukingana na nyakati. Tulianza Mtandao, wakaja MATAGA, sasa tunao CHAWA. Haya yote ni mfano wa makundi yanayotumika kushughulikia wanachama wenzao wanaoonekana tishio kwa wanakula nchi kimya kimya.

Wakuu, inawezekana ni jambo dogo mbele ya macho ya watu lakini hii karma ya kujimaliza ya CCM inaenda kukiua chama kabisa. Inawezekana kufikia 2030 tukawa na mfumo mpya na mzuri wa maongozi ya nchi yetu.

Watu kama Lucas mwashambwa , ChoiceVariable , CM 1774858 na wenzao wanaofanya spin mitandaoni ni sehemu ya anguko taradadi. Ikumbukwe Musiba ni alama ya matumizi mabaya ya madaraka ya juu kwa sababu alitoa vitisho na tuhuma nzito nzito tena zenye viashiria vya uhaini lakini hakukemewa kwa sababu alijitapa kuwa anamtetea mkuu wa mhimili.

Kimsingi hakuna anayeweza kuzuia ghadhabu ya Mungu zaidi ya toba ya kweli na ya kumaanisha. Lakini CCM hii inayoamini nguvu za giza haina pa kuponea.

watanzania wenye mapenzi mema na Nchi wasikate tamaa, CCM inaenda kuporomoka kama jiwe ndani ya maji katika nyakati hizi kwa sababu them sucking the blood of the sufferer.

Pascal Mayalla raraa reree Burapaa Erythrocyte Extrovert Mshana Jr Paw Retired kigogo hood Da vincci Bujibuji Simba Nyamaume figganigga
So to say
Mkutano wa jana wa Mwenezi uliishia wapi? Naona kimya
 
Mnataka Mungu aisapoti CHADEMA? Mkiacha kutukana viumbe vyake anaweza akawafikiria. Polisi ni kiumbe cha Mungu ila nyie mnawaita Policcm. Hapo tayari mnakuwa mmekosea
Hoja ni CCM. Mambo ya CHADEMA fungua uzi wake
 
Hoja ni CCM. Mambo ya CHADEMA fungua uzi wake
Mkuu jua kwamba kuanguka kwa CCM ni hadi kutokee mfarakano usioweza kutatulika ndani ya CCM na sio kutolewa madarakani na chama chochote cha upinzani katika hivi vilivyopo. WanaCCM wenyewe wanajua vizuri madhara ya kutolewa madarakani ndo maana inapofika wakati wa uchaguzi wanakuwa kitu kimoja ili chama kishinde. Hizo dua zenu za kuku haziwezi kuipata CCM.
 
Hilo unalolisema ni nadharia.

Angalia namna wanavyoenenda headless
 
Hilo unalolisema ni nadharia.

Angalia namna wanavyoenenda headless
Wewe kaa hapo subiri miujiza. Utasubiri sana mkuu. Fanya mambo yake mengine ili usizidikupoteza muda kusubiri anguko la CCM
 
Wewe kaa hapo subiri miujiza. Utasubiri sana mkuu. Fanya mambo yake mengine ili usizidikupoteza muda kusubiri anguko la CCM
Hapana mkuu, wala sina la kusubiria kwa sababu uwazavyo wewe sivyo ipangwavyo na Mungu.

Siongezi wala kupunguza neno kwenye nilichpandika post #1
 
Back
Top Bottom