Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

Ninachopenda kwa proffesionals ni KUHESHIMIANA. Ukiona mtu anakuja hapa kusanifu proffesional nyingine ujue aidha yeye sio proffesional au ni ulimbukeni.

Kwa mfano hapa hata huwe MD mwenye degree 8 ukitaka kufungua pharmacy lazima upate kibali cha mfamasia 😊
 
kisa u
kisa una kadegree kamoja unataka ukiajiriwa tu uwe mphamasia wa wilaya kijana vumilia upate uzoefu ili ujue dawa zinzpotea vipi, zinzpokelewaje inventory inzfznyikaje nk
 
Comment nzuri dokta[emoji4][emoji106]
 
Mkuu uko vizuri sana[emoji4][emoji106]
 
Hivi vitu viko dunia nzima watu wameamka wanajifunza computer programming mitandaoni. Na ukiangalia hata google wanaajiri watu ambao hawajaenda chuo maana wameona kuna loop hole. Kuna vitu vingi sana mitandaoni na kuna mitandao inatoa course za bure. Kama unaona ni ngumu ingia youtube kuna full courses zinatolewa video za masaa hadi tisa. Tatizo waaafrika tunashinda kufuatilia udaku na mambo yasiyo na faida. Nipo chuo huku kitu ambacho ni compulsory katika course zote hapa kwenye chuo nilichopo ni computer science na Financial Accounting. Yaani huku nilipo hivi vitu ni lazima wanachukulia kama kujua kutumia Ms Word. Mfano hapa chini hii ni cousre ya computer science inatolewa na Havard. πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡


View: https://www.youtube.com/watch?v=8mAITcNt710&t=271s
Wahindi wanajifunza hivi vitu wakiwa makwao halafu wana-apply kazi abroad na wanapata tuchangamkie fursa.
 
Hongera kwa kuwepo Havard
 
Wafamasia tujuane kwa likes na quotes.....

Unaijua Pharmacognos wewe, embu tulia ulalee toto
 
Kitu nilichojifunza kwenye career life ni kuwa ni rahisi kuichuikulia poa field ya mwenzio kwa sababu ya mtazamo wa nje kama outsider, Ila ukipata bahati ya kuielewa au kuifanya hata kwa siku tu. Utabadili mtazamo wako
Tuishi tu humu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…