Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kwamba hawapo au unakataa Nini!??Kwanza huyo ni muongo, clinical officer anafanya nini hospitali ya wilaya....??
Unajua njia ya muongo ni fupi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hawapo au unakataa Nini!??Kwanza huyo ni muongo, clinical officer anafanya nini hospitali ya wilaya....??
Unajua njia ya muongo ni fupi sana.
Unaposema "Medical Officer ana Recommend Dawa Akiwa hana uzoefu"......Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.
Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Wako Mpaka Hospitali Ya mkoa Mkuu..JAPO ikama Haiwaruhusu..Kwanza huyo ni muongo, clinical officer anafanya nini hospitali ya wilaya....??
Unajua njia ya muongo ni fupi sana.
Hii Ishu naiona ikikuwa kama kipindi kile MA NO(Nurse Officer) walianza kufanya kazi za Daktri eti kisa Wanajiita Nurse Practitioner wakang'ang'ania wawe sawa kimajukumu na Daktari...Hii ni obvious chai kabisa. Hakuna pharmacist anaweza kutibu zaidi ya Medical Officer, this is very wrong. Wanaweza wakawa na uelewa sahihi na wa kushahibiana kwenye prescription za dawa ila kwenye kutibu (taking hx, knowing what right investigation to do and formulating right diagnosis) Medical Officer knows and can do a lot compared to hao watu wa dawa. Na hii, hiko wazi wala haina uhitaji wa ubishi. Na get to know this, kisheria huyo mtu wako wa dawa haruhusiwi kufanya hayo anayoyafanya hapo kwenye maelezo yako.
Na huu ndo ukweliNachelea kubisha usemacho ila narejea kwenye minajili ya mada tajwa .
Ikiwa tungelikuwa tunasema ni akina nani ni muhimu zaidi katika mambo ya afya nisingesita kukubali kuwa daktari na muuguzi ni uti wa mgongo wa mambo wa afya hasa kwenye nchi yetu .
Ila nilieleza katika hali ya mada ilivyoletwa .
Pharmacist rule yake (Kwa hospitali) ni kuhakikisha Dawa iliyoandikwa na Daktari inatolewa kwa Uhakika na kwa Dose maalumu kama ilivyoandikwa..Nimewahi kuwaza hili ingawa Mimi siko kwenye tasnia ya afya.
Anayeandika au kuamuru mgonjwa atumie dawa ipi ni doctor, anayeamua mgonjwa atumie vipi dawa ni doctor. Sasa rule ya pharmacist ni nini?
na wabunge wengine ni darasa la saba[kama bwege],,,,,,,alaf dereva wake ni form sixHivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.
Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Pharmacist rule yake (Kwa hospitali) ni kuhakikisha Dawa iliyoandikwa na Daktari inatolewa kwa Uhakika na kwa Dose maalumu kama ilivyoandikwa..
Na kwa kiasi kile ambacho hakitaweza kumletea Shida Mgonjwa na Pia kuona njia nzuri ipi ni sahihi ya kutumia Dawa hizo kwa dozi gani ambayo haina tatizo na kulazimika kupanga utaratibu mzuri wa utumiaji kwa kushauriana na Daktari..
Pia ndo anayeHusika na Usalama wa Dawa zote..
Dah Mkuu umesoma Chuo gani ambacho kinakushindwa kujua kuwa...Medical officer anajua dawa?
Sasa ulitaka wafanye kazi zipi hapo hospital boss. By the way, kwa nature ya kazi zilizopo Tanzania hiyo ndio kazi ya mfamasia.Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.
Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Nyumisi shida kubwa inakuja Kuwa zaman Kipindi sisi Tunasoma na tunakua Hizi kazi zilikuwa zikifanywa na watu wanaopenda kazi zao na wana hekima..Ndo maana anaweza kufanya reconstitution/reformulation ya dawa iendane na dozi au umri wa mgonjwa, sema ndo hivyo watu tunadharauliana sana kwenye hizi taaluma.........na haya mambo yanachangiwa na serikali yenyewe kutokuweka na kufuata miundo na majukumu ambayo yako clear kwa kila taaluma.
Mnadhani wanaandaliwa kugawa dawa tu!?Daah miaka 4 kugawa panadol nomaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah Mkuu umesoma Chuo gani ambacho kinakushindwa kujua kuwa...
Wote Daktari na Mfamasia Husoma Pharmacy ila tu Daktari husoma kwa Kiasi kile kimachohusiana na Mgonjwa...
Daktari hubase katika pharmacokinetics na kidogo Pharmacodynamics na Pharmacognosy
na mfamasia hu base kwenye Pharmacodynamics sana na pharmacognosy sana kuliko Daktari...
na ndo Maana daktari hawezi kuelelezea Dawa Ya Amoxycilne imatengenezwaje kwa sababu Hakusoma Pharmacognosy ila Ukimuuliza Dawa inafanyaje kazi kwa Mwili wa Binadamu atakuelezea mpaka inapotolewa na hata madhara yale hutokea vipi...
kwahyo usipotoshe umma Kuwa Kwenye Dawa Daktari hajui...
Japo mfamasia hajui How we Prescribe dawa na Dose maintanance na Kujua Dx ,Hx na Mx..
unaweza ukajua Dawa DUNIA NZIMA ZINATENGENEZWAJE NA ZINAKUWAJE DAWA LAKINI UKASHINDWA KUJUA DAWA GANI INAFAA KWA MGONJWA..
NB: BAHATI MBAYA MGONJWA HATAKI KUJUA DAWA INATENGENEZWAJE NA WAPI NA IMETOKANA NA NINI ANAACHOTAKA NI KUPONA NA DAWA IMLETEE MATOKEO MAZURI
Wanabaini ugonjwa.Na Laboratory wanafanya nini?
Twende taratibu kidogo!Daktari yeye anasoma pharmacology ambayo inamwezesha kujua aina za dawa, indications kwa magonjwa mbalimbali, dosage, pharmacokinetics, pharmacodynamics, drug excretion, side effects na hii ni kwa ajili ya kumsaidia kujua ni aina gani ya dawa na dozi ya kumpa mgonjwa bila kumletea madhara makubwa.
Pharmacists nafikiri yeye anasoma dawa in much details, hivyo huwezi kumlinganisha na daktari kwenye ujuzi wa madawa.
Asante daktari .STAY ON YOUR JOB DESCRIPTION
View attachment 2819752
Naam mkuu,tusaidie kuchambua na mchango wa Watu wa Maabara upoje katika tiba.Umeusemea vyema mjadala:
1: Kila mmoja ni muhimu kwa mwenzake.
2: Kila mmoja amesoma masomo ya mwenzake ila akijielekeza zaidi kwenye sehemu yake.
3: Wote wanakutana katikati katika kumhudumia mgonjwa.
4: Kazi ya mfamasia si kugawa dawa tu kama watu wanavyowatizama. Wafamasia ni sehemu ya drug molecules development/ugunduzi wa dawa.
5: Wafamasia ni watu wanaotakiwa kufanya compounding of molecules/kutengeneza michanganyiko ya dawa kulingana na mahitaji ya taasisi husika kwa usalama.
6: Mfamasia ni sehemu ya mnyororo wa manunuzi ya dawa na vifaa tiba kwa taasisi.
7: Mfamasia ni srhemu ya mnyororo wa utunzaji salama wa dawa na vifaa tiba.
8: Mfamasia ni mratibu wa matumizi ya dawa na vifaa tiba.
9: Mfamasia ni mratibu wa makosa yasiyokamilika/near miss kwenye utoaji wa tiba.
10: Mfamasia ni mratibu wa mpangilio wa dawa kwenye eneo la kazi.
11: Mfamasia ni mratibu wa madhira tarajiwa na yasiyotarajiwa ya dawa kwenye eneo lake.
12: Mfamasia ni mtoa elimu ya matumizi ya dawa kwa wateja anaowahudumia.
13: Nk.👇
Hivyo, hawa watu wanahitajiana sana. Mtu mmoja kutokutekeleza au kuzembea majukumu si sababu ya kulaumu fani nzima au kuishusha thamani na kinyume chake.
Kutokupata nafasi ya kutimiza majukumu yako kifasaha si sababu ya kuhitaji kazi nyingine kutoka fani tofauti. Tujitahidi kuelewa majukumu ya watu kabla ya kuwajadili na kutoa hitimisho.
Ukiondoa majivuno ya kibinadamu, mfamasia ana nafaai ya kumshauri daktari na daktari ana nafasi ya kumshauri mfamasia. Ni suala la uelewa tu.