kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi masikini kama Tanzania ambako bado watoto wana kaa chini na shule na hospital nyingi hazina watumishi wa kutosha. Bado tunahangaika na matundu ya vyooo na madawa kwenye hospitali zetu
Vijana wetu wengi hawana ajira
Tafadhari msemaji wa bunge letu tukufu uje useme neno, hili litakuwa jambo baya hasa viongozi wa kisiasa wanapolizungumza kwa wananchi ambao wengi wao ni masikini . Na kama ni uongo na uzushi basi bunge limchukulie hatua za kisheria. Bungu ibariki Tanganyika, Bungu ibariki Tanzania