Kilemba na matumizi ya nguvu "sahihi" kuua Watanganyika.Swali lingine mheshimiwa.Dr wa nini??
Kijiwe kiwe kilabu maarufu pale Bunda apewe ofa ya gongo na asusa ya utumbo au mapupu ya kubanika.Yule mzee angepumzika tu nyumbani asubuhi aamke atembee kilomita mbili arudi achemshiwe maji aoge avae akae kivulini aletewe magazeti na dereva asome..mchana ale ugali jioni atafute kiwe acheze draft na wazee wenzake saa mbili jioni kaangalie taarifa ya habari kwenye bar ya karibu na nyumbani anywe bia zake 4 serengeti kubwa au konyagi ndogo na Sprite saa 4 usiku apelekwe nyumbani akatukane wajukuu wamvulie viatu akalale..weekend akaangalie LIgi kuu ya NBC
Mheshimiwa sina swali la nyongeza, labda kama itakupendeza MC atupe kile kipande cha Wimbo wa Mzee ChandeKilemba na matumizi ya nguvu "sahihi" kuua Watanganyika.Swali lingine mheshimiwa.
Chande kawa Kande mbichi.Mheshimiwa sina swali la nyongeza, labda kama itakupendeza MC atupe kile kipande cha Wimbo wa Mzee Chande
Usiulize sura maana Mola ndio muumba na ndiye aliyemuumba,utamcheka hiyo sura hujui kesho yako ikoje.Bora ungeongelea umri wake kwamba bora angepumzikaReal stivini wasira na sura yake ngumu kumesa Bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10?
Dr Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
Usiulize sura maana Mola ndio muumba na ndiye aliyemuumba,utamcheka hiyo sura hujui kesho yako ikoje.Bora ungeongelea umri wake kwamba bora angepumzika
Huwezi kuzeeka na uhendisam wala urembo.Tukumbuke hilo.Apigwe kwa hoja kinzani zisizo jadili makunyanzi usoni.View attachment 3590423
Huyu arudishwe kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe
Tatizo mzee mwenyewe hana adabu ana kauli za kukejeli anamuita John Heche kibaka sasa mzee wa hovyo kama hivi hastahili heshima wala staha.Huwezi kuzeeka na uhendisam wala urembo.Tukumbuke hilo.Apigwe kwa hoja kinzani zisizo jadili makunyanzi usoni.
Si mpakaItakurudi hiyo kauli
When somebody has gone so low,you go so highTatizo mzee mwenyewe hana adabu ana kauli za kukejeli anamuita John Heche kibaka sasa mzee wa hovyo kama hivi hastahili heshima wala staha.
Anajisahaulisha vibaka sugu wa CCM!?Tatizo mzee mwenyewe hana adabu ana kauli za kukejeli anamuita John Heche kibaka sasa mzee wa hovyo kama hivi hastahili heshima wala staha.
Real stivini wasira na sura yake ngumu kumesa Bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10?
Dr Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na gichuri.Kijiwe kiwe kilabu maarufu pale Bunda apewe ofa ya gongo na asusa ya utumbo au mapupu ya kubanika.
Anapendelea zaidi mkutira.Na gichuri.