Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

Frank I Ritte

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
1,003
Reaction score
1,350
Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?

20230506_192701.jpg
20230506_192659.jpg
 
Tatizo ni uongozi wa timu ya walemavu kushindwa kusimamia swala la jezi, BMT kazi yao ni kusimamia mashindano kufanyika.
 
Sijaelewa mada hii inahusiana vipi na picha zilizoambatanishwa. Uwanjani naona wachezaji wawili WASIO na ulemavu wakicheza basketball halafu pembeni nje ya uwanja naona mlemavu akikatiza.

Swali la kwanza kabla hatujaenda huko kwenye jezi, una uhakika hii mechi ni ya walemavu?
 
Back
Top Bottom