Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
TFF? Daah vilaza hawajaisha aiseeHatari sana TFF wako bize na Yanga
Kwani TFF wanahusika na mpira wa kikapu ?Hatari sana TFF wako bize na Yanga
Mistaken mkuu i mean Baraza la michezo taifaTFF? Daah vilaza hawajaisha aisee
Mistaken mkuu i mean Baraza la michezo taifa
Kwani TFF wanahusika na mpira wa kikapu ?
Kwani ukikubali tu ya kwamba ulikurupuka/ ulipuyanga/ ulichochoa! Utapungukiwa nini mkurugenzi!!!Mistaken mkuu i mean Baraza la michezo taifa
Hahaha nimekubali mkuu 🙂🙂Kwani ukikubali tu ya kwamba ulikurupuka/ ulipuyanga/ ulichochoa! Utapungukiwa nini mkurugenzi!!!
Umeonae TFF na Basketball wapi na wapi.TFF? Daah vilaza hawajaisha aisee