Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
swali zuri, ni mastory tuMimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu...
Maswali yako ni ya kijinga.Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa kilitokea?
Na je, alikufa mara ya pili au ilikuwaje?
Mwenye majibu tafadhali.
Imani yako ni ya kijinga.Maswali yako ni ya kijinga.
Kama yapo, labda yangesaidia wanasayansi wanaofanya utafiti kuhusu kifo ingawa sayansi na mambo ya kiimani ni vitu viwili tofauti.Inabidi kutafuta maandiko ya Lazaro
Alikua anaogopa Nini Sasa na wakati alifufuka hata wangemuua si angefufuliwa tu!Lazaro alipiga kimya maana njemba zile za kifarisayo zilikuwa zinataka kumpoteza kwakuwa alisababisha wengi wamwamini Yesu kwamba ndiye Kristo.
Biblia imesema wayahudi walitaka kumuua sasa mimi ndio nimeweka assumption kwamba aliamua kukaa kimya. Anaweza kuwa aliwaambia watu lakini hakujawa na andiko au kumbukumbu ya hilo.Alikua anaogopa Nini Sasa na wakati alifufuka hata wangemuua si angefufuliwa tu!
Alikua anaogopa Nini kusema ukifa unaenda wapi?
Kupitia maandiko inaelezwa kua kabla ya yesu kufa na kufufuka, watu walikua wakifa wanaenda kuzimu wakisubiria kiama wakati wa hukumu, na kuzimu ni giza nene (huenda ni kwenye usingizi mzito).Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu...
Huyu Lazaro anatuchanganya, niliwahi kuuliza hapa makuhani na manabii wote wa humu walikwepa kujibuMimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa kilitokea?
Na je, alikufa mara ya pili au ilikuwaje?
Mwenye majibu tafadhali.
Mwelevu tia majibuMaswali yako ni ya kijinga.
Maswali kama haya hatutayapatia majibu yake hata tukifa manake tutakua tumekufa!Biblia imesema wayahudi walitaka kumuua sasa mimi ndio nimeweka assumption kwamba aliamua kukaa kimya. Anaweza kuwa aliwaambia watu lakini hakujawa na andiko au kumbukumbu ya hilo.
Besides, nani kakwambia kwamba unaweza ku-take advantage ya miujiza ya Mungu? Kwahiyo wewe hapo unaweza kuamka asubuhi na kuamua kuacha kazi kwasababu utapewa nyingine?
Umeniongezea maswali ndugu.Huyu Lazaro anatuchanganya, niliwahi kuuliza hapa makuhani na manabii wote wa humu walikwepa kujibu
- Tunaambiwa Lazaro alikufa akaenda kustarehe mikononi na kifuani kwa Ibrahimu, je aliyemuona yuko na Ibrahimu ni nani? Alifikishaje hizo taarifa duniani?
- Lazaro alipokufa akafufuliwa na Yesu alikuwa amerudi lini toka kwa Ibrahimu?
- Tunaambiwa tajiri aliyemtesa Lazaro alimuomba Mungu amtume Lazaro duniani kuwaambia ndugu zake na tajiri watende mema, je hayo maneno yalishuhudiwa na nani?