SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ndiyo maana nimekuambia kuwa yaweza kuwa nia yako ni kutaka kujua lakini akina Faiza Foxy na genge lake watakuja kubadilisha upepo hivyo kukaribisha malumbano badala ya kuelimishana.Mimi mwenyewe ni Mkristo Mkuu, ila sioni kama ni dhambi kuuliza.