dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Sawa. Hivyo, sio sahihi kwamba waliokufa hawana kumbukumbu ya ya duniani! They have memories kama yule tajiri akiwa kwenye mateso makali kuzimu alivyokumbuka ndugu zake aliowaacha duniani na kumwomba Ibrahim amtume mtu kuwaonya!Huwezi kufafanuliwa, yani hivi vitabu mfano wake ni sawa na Nyerere mwaka 1960 anazungumzia jinsi alivyokufa na msiba wake mwaka 1999.
Ni ngumu sana kwa mtu anayetumia akili na logic kuviamini vitabu hivi, hasa kile cha Quran ndio magumashi matupu.