Hivi lengo la kuja duniani ni nini?

Hakuna aliyeamua kuzaliwa ulimwenguni ni mipango ya Mungu.Kwahiyo ni kuijua mipango yake iliyokatika Neno.tusipojua mipango yake hatuwezi kutimiza malengo ya kuzaliwa kwetu.Malengo ya Mungu ni kuitawala dunia sawasawa na mapenzi yake.kwa hiyo swala la umasikini halipo kwani vyote alivyuviumba ametukabidhi
 
Swali zuri sana. Maana mie naona maisha yamejaaa misery with only pockets of happiness
 
ูˆูŽู…ูŽุง ุฎูŽู„ูŽู‚ู’ุชู ุงู„ู’ุฌูู†ู‘ูŽ ูˆูŽุงู„ู’ุฅูู†ุณูŽ ุฅูู„ู‘ูŽุง ู„ููŠูŽุนู’ุจูุฏููˆู†ู
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu mimi"
Quran 51:56
 
Malengo ni mawili tuu, kuzaliwa na kufa.
 
Tukuchape dhambi tukakuchome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ