FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!
=================================
Nashukuru tumeshapata like 34 katika kampeni hii