Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?

Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 34 katika kampeni hii
 
Na tunaomba mashirika ya umma kama Tanesco yashurutishwe kisheria kununua vya ndani, na ikatokea wakaagiza vya nje wakati vinazalishwa nchink, basi adhabu iwe ni kunyongwa hadharani pale uwanja wa mkapa huku wananchi wakishuhudia, ifike mahali tuwe serious na kile tunachokitaka.
Cc: JPM
 
Vitu vingi tena vidogovidogo hatuna mkuu.

Nyembe za aina zote
Mashine za kuntolea ndevu
Leso za kufutia
Nail cut
Vya electronic hata kimoja

Jikoni labda sufuria

Redio na mziki wote tupu

Mie nilidhani wizara ya biashara ingeorodhesha viwanda na bidhaa ambazo zingezalishwa hapa nchini ili kwamba hata ikitokea tumewekewa vikwazo tusiadhirike sana badala ya kwaachia watu waamue.

Bidhaa zikianza kuzalishwa unaacha kutoa vibali vya kyagiza hiyo bidhaa nje.
 
Hilo ni wazo zuri sana! Ila nyembe zipo za Rungu Max, hata vitambaa vya kujifutia jasho nadhani vipo, ngoja nifuatilie. Kumbuka unaponunua bidhaa iliyozalishwa nchini ni unaongeza ajira za ndani, na hata mtoto wako akimaliza chuo atanufaika na ajira hizo
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!
Yaah nikwel tunatakiwa tuwe wazalendo, tatizo hali ya maisha ya watanzania ni ngumu Sana, ukizingatia bidhaa zinazotoka nje ya nchi Bei yake ipo chini ukilinganisha na bidhaa ya aina ile ile inayozalishwa hapa kwetu, mfano ni feniture , feniture za kichina ni nafuu kuliko feniture za kibongo , wakati raw material zote zipo hapa hapa, kwa system hii na hali jinsi ilivyo watu kununua vya nyumbani bado kunakua na ugumu ,Cha msingi bidhaa zetu zinatakiwa ziwe nafuu , tutafanikiwa haraka
 
Ndio maana nikasema uzalemdo, hizo fenicha zipo za Tanzania ambazo ni bei nafuu sana ukilinganisha na za China, kwahiyo ni suala la uzalendo tu, unapomuungisha mjomba wako pale keko ile pesa inazunguka na inaweza ikakurudia wewe mwenyewe kwa namna moja au nyingine maana pesa inazunguka internally, lakini unapopeperusha peaa tena za kigeni kwenda China ni unaiumiza nchi, unajiumiza wewe mwenyewe na kuiumiza jamii yako kwa ujumla, ni kukosa uelewa tu, inauma sana tunavyojikatili watz, sijui tumerogwa?
 
Hakuna linaloshindikana, ni maamuzi tu ndyo hakuna.
Basi ni vyema sisi wenyewe tukashikana mikono kununua vya Tanzania, maana serikali imeshindwa kulinda viwanda vya ndani, mfano GSM wameua kabisa kiwanda cha mabetri cha National na mibetri yao feki ya Tiger, na serikali ikachekelea tu, tuchukue hatua!!!
 
Pole sana rest him in eternal peace 🙏🏽🙏🏽🙏🏽. Huu unapendwa na wengi sana uko mwingine wa Peter Tosh legalize it. Hizi nyimbo we acha tu kuna nyimbo ya Peter Square nilikuwa naipenda sana mara ya kwanza kuisikia nilikuwa na close relatives tukijirusha sehemu mitaa ya jijini. Mmoja wa niliokuwa nao amefariki basi kila nikisikia huo wimbo namkumbuka sana. RIP.

Umenifanya nilie, huu mwimbo ninamkumbuka kaka mkubwa RIP
 
Pole sana rest him in eternal peace 🙏🏽🙏🏽🙏🏽. Huu unapendwa na wengi sana uko mwingine wa Peter Tosh legalize it. Hizi nyimbo we acha tu kuna nyimbo ya Peter Square nilikuwa naipenda sana mara ya kwanza kuisikia nilikuwa na close relatives tukijirusha sehemu mitaa ya jijini. Mmoja wa niliokuwa nao amefariki basi kila nikisikia huo wimbo namkumbuka sana. RIP.
Acha tu those were the days Bob Marley na African Liberty Zimbabwe 🇿🇼
 
Labda tukubali kurudi 1980 huko ndo mambo yanawezekana. Na kama nyie wazee hiyo 1980 mpaka leo mnasimulia hali mbaya ya baada ya vita na hamtaki kurudi nani sasa atake shida sasa hivi. Mkituzuia tutakuwa wakimbizi tu.
 
Unahitaji urudi 1980 ndio ununue maziwa ya Tanzania badala ya kutoka South Africa? Si ni kiasi cha kuamua tu?
 
Back
Top Bottom