Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

Ujinga unanunua vitu vya Tanzania,kiwanda kinamilkiwa na muhindi,si Bora ununue vya USA,faida inaweza kuja tena,Kama msaada
Sidhani kama uko serious, kiwanda kikiwa nchini hata kama hakimilikiwi na mTz ni kwamba faida zake kiuchumi ni kubwa mno hasa katika suala la ajira na ulipaji kodi, pia sekta zote ni interdependent na zinategemeana hivyo uzalishaji wa ndani una-multiplier effect katika sekta nyingine kama usafirishaji, mawasiliano, Kilimo nk.
 
Hatuwezi kwa sababu watanzania tun tamaa. Kitu kinazalishwa ndani ila bei ni ghali mara 10 ya kitu kinachotoka nje.
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 5 katika kampeni hii

Hata China yenyewe haiwezi sembuse Sisi tunaagiza toopick
 
Nimekwambia soma heading na content ya uzi wangu halafu onyesha ni wapi nimetaja Kenya au ni wapi nimesema bidhaa toka nje zizuiliwe, baada ya hapo ndio tuendelee, maana unataka tujadili ulicho assume nimesema wakati sijakisema.

Watu wote wanaochangia kwenye uzi wako huu kila mara unawa refer eti warudie uzi wako kana kwamba hawajauelewa!

Tatizo unatumia mbinu mfu kukwepa hoja za wachangiaji kwa kujifanya eti wewe ni mkali sana hakuna anaelewa ulichoandika hivyo soln yako ni wao warudi ku refer!

Haiwezekani watu wote hivi wasielewe,ni aidha wewe ndio una matatizo ya kuelewa sasa!

Siwezi kurudi ku refer ujinga...wewe ndio urifae tuliyoandika!

Badili technique!
 
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa miaka mi5, hatuwi superpower kweli ndani ya ukanda huu wa Afrika?
Nawapa challenge, na mimi naapa kuanzia leo, nikienda duka lolote kununua chochote, nitauliza kwanza za Tanzania ziko wapi, nikikosa ndio nitanunua za nje, tushikane mikono, UMASIKINI TUNAJITAKIA WENYEWE!

=================================
Nashukuru tumeshapata like 5 katika kampeni hii
Jaribu kwanza wewe binafsi.
Likiwezekana kwako huenda itawezekana.
 
Basically demand ikiwa kubwa na ubora utakuja ongezekana shida tunavofikiri wenzetu walianza kutengeneza smartphone toka mwanzo
 
Mawazo mazuri sana. Kuliko kulalamika na kulaumu ni bora kuwaza namna ya kutoka hapo ulipo kwa kutafuta mada nzuri na ushauri wa kutoka ulipo.

kulalamika na kulaumu chama cha mapinduzi ndiko kuna zidi kuangamiza mawazo na kufikiri kwako.

tanzania ni nchi nzuri sana imejaa kila kitu. Ila watu wake wamejaa kulalamika wanakosa ushapu wakuchangamkia fursa zilizopo kwa kuchagua kazi au biashara za kufanya.

mimi nikitembea mjini nafurai kuona watu wanatumia fursa ya vitambulisho vya magufuli kuparangana kusaka hela na mwisho wa siku watu wanaondokana na ufukara.
 
Hatuwezi kwa sababu watanzania tun tamaa. Kitu kinazalishwa ndani ila bei ni ghali mara 10 ya kitu kinachotoka nje.
Mara 10? Nadhani una exaggerate, kuna kitu kinaitwa economy of numbers, ni kwamba kitu kikiwa kinauzwa kwa wingi basi hata bei hushuka, mfano ni spare za toyota na za magari mengine, za toyota ni nafuu kwa sababu zinanunuliwa kwa wingi, sasa hata sisi tukianza kununua vya ndani kwa wingi basi hata bei itashuka.
 
Watu wote wanaochangia kwenye uzi wako huu kila mara unawa refer eti warudie uzi wako kana kwamba hawajauelewa!

Tatizo unatumia mbinu mfu kukwepa hoja za wachangiaji kwa kujifanya eti wewe ni mkali sana hakuna anaelewa ulichoandika hivyo soln yako ni wao warudi ku refer!

Haiwezekani watu wote hivi wasielewe,ni aidha wewe ndio una matatizo ya kuelewa sasa!

Siwezi kurudi ku refer ujinga...wewe ndio urifae tuliyoandika!

Badili technique!
Sasa kama unachosema nimekisema hakipo kwenye uzi niliopost unataka nikujibu nini zaidi ya kukwambia urudi kwenye uzi uone kama unachodai kipo au la. Halafu hakuna zaidi yako niliemwambia arudie kusoma uzi.
 
Mawazo mazuri sana. Kuliko kulalamika na kulaumu ni bora kuwaza namna ya kutoka hapo ulipo kwa kutafuta mada nzuri na ushauri wa kutoka ulipo.

kulalamika na kulaumu chama cha mapinduzi ndiko kuna zidi kuangamiza mawazo na kufikiri kwako.

tanzania ni nchi nzuri sana imejaa kila kitu. Ila watu wake wamejaa kulalamika wanakosa ushapu wakuchangamkia fursa zilizopo kwa kuchagua kazi au biashara za kufanya.

mimi nikitembea mjini nafurai kuona watu wanatumia fursa ya vitambulisho vya magufuli kuparangana kusaka hela na mwisho wa siku watu wanaondokana na ufukara.
Kabisa, kulalamika hakusaidii, tuchukue hatua.
 
Upo out of context, hakuna bidhaa toka nje inayozuiwa kuja Tanzania, ila pia fahamu kwa sasa Tz ipo kwenye a vicious cycle ya lower quality, higher price kitu kinachopelekea watu kununua vya nje, na hii inapelekea bidhaa zetu kuzidi kuwa za lower quality na higher price which makes it even worse. Sasa ili kuvunja hii vicious cycle inabidi tuanza mahali, we need to start somewhere, kwanza kabisa tupende vya kwetu na kuvinunua ili kusupport wale wazaloshaji wa ndani, wakipewa hii support wataboresha ubora na economy of number itasaidia sasa kushusha gharama za uzalishaji na hapo ndio tutaanza kuexport nje maana quality itakuwa bora na bei itakuwa nafuu na tutaweza kushindana nje, sawa mzee.
Mkuu, Tanzania soko lake Ni gumu kwa kiasi fulani na ninaweza kutoa sababu mbili ambazo hazizungumzwi.

1. Mitazamo hasi juu ya bidhaa za ndani hata kabla ya mtu kuitumia.

2. Vikwazo vya kibiashara kwa wazawa. Mkuu najua wajua kuwa Tanzania tunaongoza kwa viwango vya Kodi kwa ukanda wa Afrika mashariki na bado hujaangalia mlolongo mrefu katika uanzishajia wa biashara.

Kwa nchi Kama yetu ambapo tunategemea machines na materials kwa ajili ya uzalishaji, unapoweka kodi kubwa Ni dhahiri hata gharama za uzalishaji zitapanda na kukuta utofauti wa market price ya bidhaa za ndani na nje zinakuwa Kama sawa. Ukichukua teknolojia ya uzalishaji wa bidhaa za nje na mitazamo hasi ya watz bhasi bidhaa za nje Ni lazma zipae

Huu Ni mjadala mpana Sana
 
Sasa kama unachosema nimekisema hakipo kwenye uzi niliopost unataka nikujibu nini zaidi ya kukwambia urudi kwenye uzi uone kama unachodai kipo au la. Halafu hakuna zaidi yako niliemwambia arudie kusoma uzi.
Still unazidi kudanganya na ku-deny!

Well,we have two conflicting ideologies!

Na mambo ya kumwambia mtu arudi kusoma posti yako ni ya kishamba sana,maana posti yako sio nyeti kiivyo ifanyiwe references unavyotaka!

Kila kitu "refer my post".....who cares?
 
Mkuu, Tanzania soko lake Ni gumu kwa kiasi fulani na ninaweza kutoa sababu mbili ambazo hazizungumzwi.

1. Mitazamo hasi juu ya bidhaa za ndani hata kabla ya mtu kuitumia.

2. Vikwazo vya kibiashara kwa wazawa. Mkuu najua wajua kuwa Tanzania tunaongoza kwa viwango vya Kodi kwa ukanda wa Afrika mashariki na bado hujaangalia mlolongo mrefu katika uanzishajia wa biashara.

Kwa nchi Kama yetu ambapo tunategemea machines na materials kwa ajili ya uzalishaji, unapoweka kodi kubwa Ni dhahiri hata gharama za uzalishaji zitapanda na kukuta utofauti wa market price ya bidhaa za ndani na nje zinakuwa Kama sawa. Ukichukua teknolojia ya uzalishaji wa bidhaa za nje na mitazamo hasi ya watz bhasi bidhaa za nje Ni lazma zipae

Huu Ni mjadala mpana Sana
Ni kweli, ila serikali imechukua hatua kwa mfano kwenye maziwa kiasi bei ya maziwa ya nje na ya ndani haitofautiani sana, tena ya ndani siku hizi ni nafuu kuliko ya nje, hivyo uzalendo utumike kununua vya ndani
 
Still unazidi kudanganya na ku-deny!

Well,we have two conflicting ideologies!

Na mambo ya kumwambia mtu arudi kusoma posti yako ni ya kishamba sana,maana posti yako sio nyeti kiivyo ifanyiwe references unavyotaka!

Kila kitu "refer my post".....who cares?
Kumbe najadili na taahira? Haya na mimi nasema.kwambankwenye post yako ya kwanza umesema wewe ni xhoga, na usiniambie nirudi kuiangalia vizuri.
 
Unaeongelea ushoga ni wewe!

Hakuna mtu amekuita shoga,ulivyo guilty na kwa mechanism ya kujilinda mpaka unajistukia unaita wengine mashoga to divert the real you!

Yamekujaa ndani yako mpaka unatetemeka unaita wengine wakati in reverse ni wewe yamekujaa!

You are so scared of your own gay tendencies mpaka unasukumia wengine!

Please copy any of my post nimekuita shoga anywhere!!

Copy it here!

Such a homo nigga flaming!

Be a hero homo and accept yourself sio unasukumizia watu tusiohusika na wewe!

Bure kabisa!
 
Mara 10? Nadhani una exaggerate, kuna kitu kinaitwa economy of numbers, ni kwamba kitu kikiwa kinauzwa kwa wingi basi hata bei hushuka, mfano ni spare za toyota na za magari mengine, za toyota ni nafuu kwa sababu zinanunuliwa kwa wingi, sasa hata sisi tukianza kununua vya ndani kwa wingi basi hata bei itashuka.
Jamaa kaongea point sana.. Watu wakianza kununua kwa wingi mtu baada ya kuongeza supply and therefore production yeye anaongeza bei. Hili ni kosa kubwa sana na hii huchangia na tamaa ya watanzania. Ulishawahi jiuliza kwa nn watu wanaenda kuchukua mzigo Uganda wakati bidhaa hizo zinazalishwa China.?
 
Back
Top Bottom