Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
 
Mwalimu Kashasha atakuwa na majibu
 
Kumbe ni kinda yule
 
Watanzania kwa stori za ajabu ajabu hatujambo, magoli kama ya huyo dogo yapo mengi sana sioni sababu ya kumpa kiki dogo ambaye anasafari ndefu kisoka, isije kuwa kama ya Eric Djemba Djemba
 
Nafahamu yameisha fungwa mengi ila mkuu lile alikuwa shoot la kawaida lilikuja na kasi ya yale mabomu yaliyotua pale iroshima.
 
Back
Top Bottom