Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.