Kessy alikwepa ile ngoma
Mwalimu Kashasha atakuwa na majibuSiwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
Cha kufia nini?Mkuu aliikwepa usiku mweupe kabisa ila bora alikwepa kiukweli ile kitu ata mm nisingeweza kuweka kiungo changu chochote kuzuia.
Alipofunga tu nkabadili[emoji16][emoji16][emoji16]Naona umebadili na avatar yako kabisa. So sili yule dogo ni mchawi.
Kumbe ni kinda yuleSiwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa siunakufa kabisa pale? Niliona mama Kessy aliamua kulikwepa na mimi na sema bora alilikwepa vinginevyo lungeshika tumbo leo tungekuwa tunapokea maiti yake pale airport.
Hata slow motion bado liko speed maana kila nikiangalia marudio naona speed kubwa tu maana camera imeshindwa kulinasa vizuriKessy alikwepa ile ngoma
Nafahamu yameisha fungwa mengi ila mkuu lile alikuwa shoot la kawaida lilikuja na kasi ya yale mabomu yaliyotua pale iroshima.Watanzania kwa stori za ajabu ajabu hatujambo, magoli kama ya huyo dogo yapo mengi sana sioni sababu ya kumpa kiki dogo ambaye anasafari ndefu kisoka, isije kuwa kama ya Eric Djemba Djemba
Nafahamu yameisha fungwa mengi ila mkuu lile alikuwa shoot la kawaida lilikuja na kasi ya yale mabomu yaliyotua pale iroshima.