Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo kuunganisha na sgr hii mpa. nikakumbuka kuwa kumbe kulikuwa na kipengele cha marufuku kujenga bandari nyingine yeyote Tz bila ridhaa ya mwekezaji. hivi bado tutatakiwa kuomba ruhusa au tutafute mwekezaji mwingine au tujipigepige sisi weneywe tujenge barandi ya bagamoyo na zingine? Mungu ibariki Tanzania.