ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
granitized hivi wewe ni kolo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitake radhi tafadhali madame nakuheshimu sana.granitized hivi wewe ni kolo?
Kumbe wewe ni mwenzangu..!🤸nitake radhi tafadhali madame nakuheshimu sana.
naanzaje kuwa kolo kwa mfano? Umeshasahau nilikuambia mm ni mpenzi wa yanga
Kama samaki na maji, ukinitoa yanga nakufa wallah.Kumbe wewe ni mwenzangu..!
Mtoto wa mjini umli ushamtupa mkono anapoteza mda wake bureSheikh Dr Matola PhD alisema Mangungu ni mtoto wa mjini! Je, mtamuweza kweli?
Umli❌Mtoto wa mjini umli ushamtupa mkono anapoteza mda wake bure
Nafuatilia endapo vyura weshafunguliwa usajili mkuu.Wana5imba waseme chochote Mtoto halali na hela Tsh
Mmeahirisha kumtimua jamaa???😁Nafuatilia endapo vyura weshafunguliwa usajili mkuu.
Hawa mbumbumbu hakuna wa kumsumbuwa mtoto wa Libya street, Murtaza.Sheikh Dr Matola PhD alisema Mangungu ni mtoto wa mjini! Je, mtamuweza kweli?
Kamwe alisema mshawalipa lakini. Deni limelipwa?Mmeahirisha kumtimua jamaa???😁
Hpn c mgeni ila naona kama unachochea .....Wewe utakuwa ni mgeni humu jukwaani bila shaka! [emoji56]
Ubuthu Botho hapo ndipo mnapoferi, wakati Yanga wanamalizana na usajiri kimyakimya nyinyi mbebaki kama fisi kumfuata binadamu nyumanyuma kwamba mkono utaanguka.Nafuatilia endapo vyura weshafunguliwa usajili mkuu.
Tukifeli si ndo Chura sauti ya kukoromea inapata spika. Upele na kucha.Ubuthu Botho hapo ndipo mnapoferi, wakati Yanga wanamalizana na usajiri kimyakimya nyinyi mbebaki kama fisi kumfuata binadamu nyumanyuma kwamba mkono utaanguka.
Shensitaipu.
Dharau...Manyanyasooo
Mangungu mtu saanaDharau...
fake you😡Makolo wana akili za msimu