Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?

Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?

Sheikh Dr Matola PhD alisema Mangungu ni mtoto wa mjini! Je, mtamuweza kweli?
Hawa mbumbumbu hakuna wa kumsumbuwa mtoto wa Libya street, Murtaza.

Huwa tunawachora tu wanavyopayuka, Mangungu ameteuwa mjumbe wa bodi kuwaonesha mamlaka aliyonayo kikatiba.

Sasa mbumbumbu hawa kina GENTAMYCINE waangalie mjumbe aliyeteuliwa na Murtaza ni nani ndio akili zitawarudia.
 
Ubuthu Botho hapo ndipo mnapoferi, wakati Yanga wanamalizana na usajiri kimyakimya nyinyi mbebaki kama fisi kumfuata binadamu nyumanyuma kwamba mkono utaanguka.

Shensitaipu.
Tukifeli si ndo Chura sauti ya kukoromea inapata spika. Upele na kucha.
 
Back
Top Bottom