Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huyu jamaa alikuwa kinara wa kumpinga mwamba Magufuli na safari hii tena anampinga huyu bibi waliesema ni mama Yao kipindi Magufuli amefariki, leo hii Magufuli anaimbwa CHADEMA hawa watu wana akili timamu kweli maana mama kawapa demokrasia waliyoitaka ila Kuna vilio Sasa shida nini wakati mmepewa demokrasia na Magufuli mbaya wenu kashakufa miaka 5 iliyopita