Lizzy ana hirizi ya simba!
Hata wanawake tunamzimikia pia!
Ohhh thank you X-shem.
Happy new year. . .
Waache hao, wivu tu hakuna kingine!Jamani Mwali asante mpenzi, alafu watu eti hua wanasema wanawake hatupendani!!!
hata miye nimo, namzimikia... ila nd'o hivo tena, i've got my own sushi chain'n ball!!!
Ashinde mara ngapi sasa?Mh kaaazi kweli hivi kungekuwa na uraisi humu si angeshinda?
semu tu yu eksi shemu......hata mi we hakunaga!