Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hmmmm hii thread inapepea kama kishada
Mkuu hizi ndio sredi za kupaishana kiaina, uzi unakwenda page yangapi sijui lakini wachangiaji hadi sasa ni wale wale hawafiki hata 8.
utashangaa mtu anapost 5000 lakini hakuna hata moja constructive, ni habari za nakumiss, shem, hujambo nk
 
Back
Top Bottom