Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Ni binti mzuri sana anavaa kuolewa,anamacho ya kurembua.
 
May b bz anawatch movies a lot,read magazines a lot n browse a lot so tht makes her up to date.. jas guesing though....
 
Michango yake ndo inafanya watu wamfagilie...
Lizy keep it up mama.
 
Kwa style hii post inatosha, hakuna haja ya kujaza server.
Siku ukitolewa ndani yako ipo usijali.........ila mpaka utoke nikuone kwa macho na masikio yangu
 
Hya ntathibitisha nipe 14 days, unataka kwa maandishi hard copy au presentation ya ppt?
14 days za kutengeneza ushahidi ehhhh?
Mpaka hapo huo ushahidi (hata kama upo kweli) hauaminiki.
 
Back
Top Bottom