Hii ni chit chat, sio lazima kuwe na conclusion. we are heading nowhere... karibu.Kwani mnaendelea kuongelea nini hapa?
Thanx! ...there's an exception to every rule though...!!
Lizzy huwa anajianzishia thread! Shitukeni
Hamna kitu hapo. . . .mi mtoto mzuri sana.Sa si nakusanya uthibitisho jamani.............natafuta na mashahidi (kongosho) akiwemo
Kiaje?? Mbona kama unakua na wivu. We ni Ke au Me.Lizzy huwa anajianzishia thread! Shitukeni
Thibitisha
hii ni chit chat, sio lazima kuwe na conclusion. We are heading nowhere... Karibu.
Unajua Musimo Jr, wanaume huwa wanakuwa more excited wakiwa challenged! na hii ndo moja wapo ya sifa za Lizzy, I love her for that.
Imefanyaje?senksi......avatar yakooo...
Bila ushahidi i'm just a good girl. . . .Aaaah unajua sio kama being naughty ndo umekuwa mtoto mbaya, halafu mi sijasema we mtoto mbaya i know u r mtoto mzuri i just said u r NAUGHTY......Teh Teh!
HAhahahahaha, nimecheka kwa nguvu sana!ID nyingine ya Lizzy ni malaria sugu
Thanx wangu, so wanaume wanapenda mtu ambaye anaweza kuwapa nyongeza ya walichonacho eeh, kwa maana ntingineUnajua Musimo Jr, wanaume huwa wanakuwa more excited wakiwa challenged! na hii ndo moja wapo ya sifa za Lizzy, I love her for that.