Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Bila ushahidi i'm just a good girl. . . .
Hahahahaaa haya GOO Girl until proven NAUGHTY Girl............

Nambie ulipoipata hiyo hirizi nami naitaka aseee
 
Hahahahaaa haya GOOD Girl until proven NAUGHTY Girl............

Nambie ulipoipata hiyo hirizi nami naitaka aseee

Lolzzz. . .

Hii nimeshakwambia ni ya kifamilia zaidi. . . . watu wa nje haiwafai.
 
Mwali achana na Woz. . . ananipenda mpaka anachukia ndo maana yuko hivyo.
You are right saikolojia ya binadamu inasema binadamu anapokipenda sana kitu ambacho anajua hana uwezo nacho hutengeneza chuki bandia kupunguza maumivu ya kukikosa
 
Thanx wangu, so wanaume wanapenda mtu ambaye anaweza kuwapa nyongeza ya walichonacho eeh, kwa maana ntingine

Haswaa dada yangu na ndo somo ambalo wanawake wengi tunalimiscalculate kwenye mahusiano. Wengi wetu tunaamini kuwa being a YES pesrson, an obedient woman ndo silaha ya kumfanya your man astick kwako kumbe lah!! Mwanaume anapenda mcharuko kwa maana ya kuwa mwanamke mwenye principles, a non-nonsense woman. You love me, I love you, you despise me, I despise you period. That is what Lizzy is.
 
Lolzzz. . .

Hii nimeshakwambia ni ya kifamilia zaidi. . . . watu wa nje haiwafai.
Sa si unaweza nifanya na mi nikawa wa familia ili kitu kifanye kazi bhana!
 
Haswaa dada yangu na ndo somo ambalo wanawake wengi tunalimiscalculate kwenye mahusiano. Wengi wetu tunaamini kuwa being a YES pesrson, an obedient woman ndo silaha ya kumfanya your man astick kwako kumbe lah!! Mwanaume anapenda mcharuko kwa maana ya kuwa mwanamke mwenye principles, a non-nonsense woman. You love me, I love you, you despise me, I despise you period. That is what Lizzy is.
Toking from a man's perspective, I love a woman i can trust with hard decisions and which she can can stand for.......... I dont like women who cant even decide what to cook.....
 
Sa si unaweza nifanya na mi nikawa wa familia ili kitu kifanye kazi bhana!

Hhhm . . . kununua jina la ukoo ng'ombe 20, kuwa ndugu kabisa jiandae kujenga kaghorofa( uwe na sehemu ya kulala ukija nyumbani), ununue kapick up (ya kulishia mifugo yako na shughuli za shamba). Shamba utapewa kakiamba kule Kirisha. . . . lolz. . . kwahiyo we kazi ni kuandaa pesa ya vibarua na dawa za kahawa tu.
 
Toking from a man's perspective, I love a woman i can trust with hard decisions and which she can can stand for.......... I dont like women who cant even decide what to cook.....
Hahahaha. . . Jr jamani. Kwahiyo hutaki kuulizwa "baba tule nini leo?" !!!???

MJ1 is right though. . . .hata YES MAN nae anaboa.
 
Back
Top Bottom