KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Kutokana na misimamo ya Lizy, wakati mwingine nahic Lizy=Salama J. Pili, hakuna mwanaume wa JF anayeweza kufurukuta kwa Lizy huwa wanajichekelesha wakiamini 1 day YES, Mungu si Kakajambazi, we cheki trend ya uzi,, strange enough, Lizy huwa hajiwezi wala hapumui mbele ya Kongosho. Am sorry Lizy. U knw i lv u.