Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hi Lizzy, you look to be talkative and you'll probably be an Entertainer to your husband! I wish I could be there siku ya Mahari niongeze VAT for that!
 
Lizzy kaka yangu anajua kama upo on high demand?? Ili if he ever takes u for granted ajue hata mi mdogo wake sitamtetea maana nashuhudia watu wanavyotangaza nia hapa!
 
mi nampendaga Lizzy saa za manane ya usiku... Wakati mwingine anabaki na Mwali wanapiga stori mpaka majogoo...
 
Lizzy kaka yangu anajua kama upo on high demand?? Ili if he ever takes u for granted ajue hata mi mdogo wake sitamtetea maana nashuhudia watu wanavyotangaza nia hapa!

Hahahahha. . . .
Amy nadhani atakua anaona mwenyewe, yani inabidi anidekeze na kuniendekeza mpaka nichukie, maana akizembea tu nachukuliwa siku ya pili.
 
Hi Lizzy, you look to be talkative and you'll probably be an Entertainer to your husband! I wish I could be there siku ya Mahari niongeze VAT for that!
Hehehehe. . . asante Mams. . . hiyo siku kama ipo, ntakukaribisha nikuburudishe na wewe.
 
Ila mimi simo mtoa mada. Sijui huyo Lizzy ndo nani? Mhhh!
 
hi lizzy, you look to be talkative and you'll probably be an entertainer to your husband! I wish i could be there siku ya mahari niongeze vat for that!
value added tax
 
Back
Top Bottom