Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Daktari kaniambia kuna mtu nimemmiss, ila vipimo havionyeshi ni nani. Inabidi niende tena jumatatu.
U dnt need to go to daktari, mtu anayepita akilini mwako sana ndo huyo... i pray that person be...
 
Leo asubuhi kabla sijaanza kujiandaa kwenda kibaruani niliona post ya kusema mtu kamzimikia Lizzy, hii ni mojawapo ya string nyingi sana ambazo zimekuwa zikitangaza kumzimikia Lizzy.

Hivi Lizzy umewapa nini hawa kila siku wanatangaza kukuzimikia? Wanapenda Avatar yako au wanapenda nini kwako? Hata wale ambao hawajaanzisha thread kuhusu Lizzy bado nahisi wanakuzimikia tu hebu nao waseme nini wanakizimikia kwako?

Mi nlisjasema..........

...lol....naona nawe ni mmoja wapo...

...ni hulka ya wanawake wengi kuingia mitini maji ya shingo, lakini kwa Lizzy na FaizaFoxy What you give is what you get.

Hii inawasumbua wanaume ambao bado hujivutia na mfumo dume, they want to hate but fail miserably with admiration on how these women can stand their ground!
 
Back
Top Bottom