Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Khaaaa!
Sasa ndio nini kuchungulia diary yangu?
Khaaaa!
Hii sredi imevunja sheria za JF, acha niwasiliane na mods wenzangu nione nini tutafanyaSasa ndio nini kuchungulia diary yangu?
Mh hizo imaginations zako....
Hii sredi imevunja sheria za JF, acha niwasiliane na mods wenzangu nione nini tutafanya
This sred has been closed by me!
kawaida maharusi huwa na best man na matron.. Sasa kioja chako na mtarajiwa wako ndo nauliza sababu zake,nawe waniuliza tena Musimo? Sijaeleweka kwani?
Kwahiyo kwasababu tu mmezoea basi tufuate mkumbo? Sisi sio wa kawaida.
ndo itadoda mpaka mshangae,picha mtapigia wapi?!
Kwani watu wakipiga picha hua wanawakalia/simama juu ya wapambe?
hahahaha...you really made my day Lizzy..
Hahaha. . unaona sasa, wapambe sio lazima. Wote mtakua wageni waalikwa.
vipi mtachagua aina ya zawadi au tulete chochote...@nyu kapo...M n L..