Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Nakupa kile kitu kisichoweza shikwa kwa mkono.......i give you my heart!

Hhehehehe. . .sasa mbona unanipa kitu nisichoweza kuhakikisha nnacho?

@Kakondoo. . . .hahahahaha. . . we hujatulia wewe. No wonder sherehe na maugomvi yote mtaani yanakuhusu.
 
Nitulie kwani mi maji ya mtungi? Hahah Sherehe sihudhurii ila kwenye ugomvi hunikosi labda niumwe.....lol!!!
 
Ntaanza kukuweka 'under house arrest'. . . utajashuhuliwa na kusutwa huko ndo utakoma.
 
Nilishasutwa mpaka wasutaji wakachoka.....sa ivi mi ndo captain wao!! Hahahahh hayo yote yatawezekana iwapo 'vigodoro' vitapigwa stop manake hii ndo show babkubwa huku mtaani kwetu!!
 
Khaaa. . . ndo ushakua sugu hivyo? Basi wewe sio kakondoo tena ni jikondoo. .. Lolzzz.
 
Tafadhali mama mchungaji nirudishie hadhi yangu ya kakondoo, hayo nayafanya nje ya kanisa tu!! Tusihukumiane jamani ni mfumo tu wa maisha na mazingira tunayoishi!!! Lol
 
Hahahahaha. . . Huo utetezi huo.
Haya nakurudishia ila upunguze usije ukapigwa huko.
 
Tangaza ndoa, na harusi iwe ya kifahari, honeymoon Bahamas.
Yaani Bahamas karibu hapa!? Kwanini tusiende Hawaii for a one month honeymoon? Ndoa naenda kuandikisha kesho next sunday inaanza kutangazwa wala usijali
 
Nina mama Gaude wangu already...Lizy ni kchwa na naamini sifa yangu haiwezi kumpoka uwezo wake kifikra...Back to mleta hoja ni kwamba tunampena Lizzy kwa kua ni Jembe,anajua kuanzisha,kutawala hoja (hata ambayo hakuanzisha) anadefend point,anatoa changamoto na ushindi wake si wa penalt...napenda kichwa chake!...
 
Nah. . . mi nataka Bahamas, Hawaii tutaenda kwaajili ya valentine.
 
Nina mama Gaude wangu already...Lizy ni kchwa na naamini sifa yangu haiwezi kumpoka uwezo wake kifikra...Back to mleta hoja ni kwamba tunampena Lizzy kwa kua ni Jembe,anajua kuanzisha,kutawala hoja (hata ambayo hakuanzisha) anadefend point,anatoa changamoto na ushindi wake si wa penalt...napenda kichwa chake!...

Hehehe. . . thanks HA.
Sijakuona muda jamvini. . au ndio mama Gaude kakunyima kuwepo?
 
Mkuu Lizzy,Nilitoka mjini kidogo na km ujuavyo vijiji vyetu vya ujamaa...umeme,network vyote ni misamiati...Nashukuru Mungu nimerudi salama...salamu nyingi toka kijijini!
 
Ahhh kumbe ulienda kupata hewa safi kidogo.Karibu tena kwenye fujo za mjini.
Sasa zawadi ya matunda matunda iko wapi?
 
Back
Top Bottom