Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hata mimi huwa najikaza kisabuni tu, but I have a crash on her! 🙂
 
Thanks Nyani....Lugha ya Malkia hiyo sijui hata kwanini huwa naikimbilia!

Sindo unajifunza. .
Hata Nyani hua haiendi yenyewe, shurti isindikizwe na Ngabu.

Nwy asante bana, usiwe unajikaza sana.
 
Sindo unajifunza. .
Hata Nyani hua haiendi yenyewe, shurti isindikizwe na Ngabu.

Nwy asante bana, usiwe unajikaza sana.

Okei! Kumbe hata Nyani nayo nimekosea ilitakiwa nitamke Nyani Ngabu! Duh! Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
 
Nimerudi sasa lizzy wangu yuko wapi mbona simuoni, nitaua mtu leo ngoja niende kwa Sumu au atakuwa kwa Musimo jr

Alikuwa ananipikia magimbi, ndo tumemaliza kula muda si mrefu.
 
Kwa hiyo we yako hapo ni ipi??
usisahau kufuatisha na ishala na kukubali!!!
Yangu ni mojawapo ya hizo n ni ile the best one. Ishara hata usijali
 
Nimerudi sasa lizzy wangu yuko wapi mbona simuoni, nitaua mtu leo ngoja niende kwa Sumu au atakuwa kwa Musimo jr
Watoto washarudi na mafungu yao kha!
 
Lizzy mimi mgeni kwenye jukwaa hili ya Chit-Chat; ndio mara ya kwanza leo kuingia hapa.

Ohhhh basi karibu sana.

@ Jr. . . Nitty. . . Sumu naona maneno mengi tu, embu fanyeni kweli nichague mshindi bana.
 
Paw hebu iwekee sticky hii mada. Hivyo yeyote yule atayejisikia kufunguka kwa Lizzy anakuja hapa anafunguka.
 
Ohhhh basi karibu sana.

@ Jr. . . Nitty. . . Sumu naona maneno mengi tu, embu fanyeni kweli nichague mshindi bana.

Yaani hapa nilipofikia ndo nimejitutumua hadi mwisho. Nasubiri huruma yako tuuuu.
 
Paw hebu iwekee sticky hii mada. Hivyo yeyote yule atayejisikia kufunguka kwa Lizzy anakuja hapa anafunguka.

Hehehe. . .mi nataka watakaofunguka baadae wawe na kumbi zao wenyewe, sio watumie za wenzao.
 
Loh. . . mapenzi ya huruma tena? Hiyo biashara sifanyi babaangu.

Daaaaah! Kisicho ridhiki hakiliki na asiyekubali kushindwa si mshindani. Nimenyoosha mikono juu nawaachia na wenzangu wajaribu bahati yao.
 
Lizzy, ndo nakutongoza hivi.
Am crushing like jaw crusher for you, and only you.
 
Daaaaah! Kisicho ridhiki hakiliki na asiyekubali kushindwa si mshindani. Nimenyoosha mikono juu nawaachia na wenzangu wajaribu bahati yao.

Asiyekubali kushindwa NDIE MSHINDI.
 
Back
Top Bottom