Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Mbona namfagilia kila siku jamani? Au mpaka niweke bango mjini ndo utaridhika? Hehehehe hao ndo hivyo, majina tu wanapeana.

Hahaahaha. . .basi ntakua nakakikisha nakupa kiasi unachohitaji TU.Yani hata ya pipi haibaki. Alafu wa kakondooo mitaa ipi hiyo?

aah we si unafanya kiuficho eti!!! Hata watu wote wakijua kuwa unamfagilia baba mchungaji sio mbaya, tuondoe yale mabango yote ya miaka 50 ya uhuru then tuweke picha yake kabisaa....lol!! Hahah na utu uzima wangu huu hunitumi dukani kwa mahesabu bora nilale usingizi!! Mmmh......mitaa ya kinondoni vile au nimebugi??
 
Hahahaa. . "la mujer de mi vida" huh. . .

Asante kwa dedication 'potential hubby'.

Tumjue nani sasa hapa?? Wewe akitokea mwingine tena unaenda sio? Ndo maana Musimo jr alihisi pressure tangu mwanzo!
 
aah we si unafanya kiuficho eti!!! Hata watu wote wakijua kuwa unamfagilia baba mchungaji sio mbaya, tuondoe yale mabango yote ya miaka 50 ya uhuru then tuweke picha yake kabisaa....lol!! Hahah na utu uzima wangu huu hunitumi dukani kwa mahesabu bora nilale usingizi!! Mmmh......mitaa ya kinondoni vile au nimebugi??
Hehehehehe. . . unataka watu wamsake niibiwe ehhh? Kweli hunitakii furaha kakondoo.

Hahahaa. . . kwani nikikupa utahesabu kabla ya kuondoka? Basi ntakuongezwa sh. 50. Hhhhmn usikute nna pacha nisiemjua aisee. . .
 
Nani aibe? Ndo kwanza wote watamgwaya labda ka nawe ulimuibia mwenzio!! Alafu acha utani basi, noti ya sh 500 yenyewe sibebi ijekuwa 50? Ukinipa lazima nizifunue...hahah!!! Basi itakuwa nilibugi aisee au alikuwa doto wako AD!!
 
Heheeheh hujawahi kusikia watu wanaibiwa baada ya kuonyesha wanawamaind sana watu wao ehhhh? Wengine watataka kujua kinachonidatisha.

Uhh uhhh. . hiyo 50 ni cha juu, ili ununue ubuyu.
Hehehe anaweza akawa wangu, ukimwona tena embu msalamie.
 
Wasiwasi wako tu, haibiwi mtu sana sana wataiga tu na wenyewe kuweka mabango!! Dah....hata kama ni ubahili ndugu yangu sio hivo, we saizi yako besti ili uwe unamuonea vizuri!! Hahahah nikimbahatisha tena nitamsalimia!
 
Mwajuma Ndala Ndefu. . . lolz

Jamani raha kugombaniwa. . .
Sasa unampeleka wapi malkia akapate kifungua kinywa.?
Kwenye KASRI LA MFALME ofcoz where else? Lunch Mount Meru, Chai ya jioni Ngurdoto, dinner Bilila na chai ya asubuhi kesho Sasakwa
 
Back
Top Bottom