Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Loh. . Loh. .. Loh
Kumbe wahitaji kuhongwa?

Huyu bado mtoto, lizzy usiumize kichwa chako wanaume wanaopenda kuhongwa wana jina lao tunapendaga kuwatania mpaka utacheka
 
mimi valid statement hajanipa kitu mbona????
labda nyinyi wengine?
embu mtuhadithie wanaume wengine wa jf kawapa nini?
 
Ummm. . . nakuja kuwajibu mmoja mmoja sasa hivi, ngoja nimalize kula.
 
mkuu nitonye inaonekana wewe ukimtokea duu unaanza ku kuwapondea rafiki zake wa kiume
 
Watoto mmemaliza kubishana na kupigana vijembe mi nisepe na malkia wangu? Màana nliacha watoto wajifunze kutokea vitu vikali sio kila siku kina mwajuma ndala ndefu
 
Mwajuma Ndala Ndefu. . . lolz

Jamani raha kugombaniwa. . .
Sasa unampeleka wapi malkia akapate kifungua kinywa.?
 
Wewe jipe matumaini tu utazidi kuona nyota
 
Mwajuma Ndala Ndefu. . . lolz

Jamani raha kugombaniwa. . .
Sasa unampeleka wapi malkia akapate kifungua kinywa.?

Jiandae darling nikupeleke KumkomaNyaniGiladi tukapate chai ya rangi kwa chapati na maharagwe.
 
Kachukue tunywee nyumbani bana. Alafu yangu iwe na iliki na tangawizi. . .
 
Back
Top Bottom