Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Wewe kaa ndani mwenzio nimeshampandisha kwenye treni ya umeme naenda nae nyumbani kwangu mtoto atulie lol mmemlisha maneno ya mahaba utadhani mmetumwa

Kwasababu najiamini napendwa, mimi nitampandisha kwenye kibajaji.
 
We nitonye ulishaona mko kwa altar halafu bride anakukana anaondoka na best man? Then watch out for that

Ha ha nimekumbuka sikupi hiyo itabidi ukae getini kukaribisha wageni nakuwagaiwia vitambaa vyeupe vyenye picha nzetu
 
Kwasababu najiamini napendwa, mimi nitampandisha kwenye kibajaji.

Wewe unataka kumtoa vidonda mtoto wa mwenzio huna nia nzuri kabisa hivi ngozi ya lizzy ilivyokuwa ya thamani halafu ipate michubuko wewe unacheza eh
 
Hahaah. . . .
Ngoja niangalie mpambano. Atakaeshinda huyo ndie haswaaa anaenifaa.
 
Ha ha nimekumbuka sikupi hiyo itabidi ukae getini kukaribisha wageni nakuwagaiwia vitambaa vyeupe vyenye picha nzetu
Popote nitakapokuwa atakuja mwenyewe kama mbwa anavyokuwa kwa chatu
 
Kwa hiyo hata kama akiwa kwenye mateso unasubiri akufuate aisee wewe mwanaume haujali kabisa halafu unamfananisha na mbwa yaani hapo umefika mbali aisee
 
"Lizzy kumbuka,
Kupata ni majaliwa,
Mapenzi si mali,
Wala si pesa,
Penzi ni dhamana,
Ya Moyo wa mtu"

Nimekuimbia hadi song la enzi hizo, usiponionea huruma Lizzy basi ni bora niikimbie dunia.
 
Huo wimbo kipindi hicho lizzy hajazaliwa acha kuleta mambo ya mwaka 47 unadhani atakusikiliza hivyo wewe nenda kalale nipo nae hapa anakuangalia unavyoangahika
 
Embu niimbie 'embe dodo' . . . .
 
Huo wimbo kipindi hicho lizzy hajazaliwa acha kuleta mambo ya mwaka 47 unadhani atakusikiliza hivyo wewe nenda kalale nipo nae hapa anakuangalia unavyoangahika

Hehehehe. . . We mkorofi kweli.
 
Huo wimbo kipindi hicho lizzy hajazaliwa acha kuleta mambo ya mwaka 47 unadhani atakusikiliza hivyo wewe nenda kalale nipo nae hapa anakuangalia unavyoangahika

Anakuchuna vihela vyako vya "kiinua mgongo" mwisho wa siku atakuja kunihonga mimi.
 
Sio kwamba atakuwa anakuhonga bali atakuwa anakupa ili kukupoza na machungu utakayokuwa nayo ilihali umsahau kabisa wewe lizzy humjui
 
Embe dodo, Embe dodo, Limelala mchangani X2
Kwa huba na mazoea, uwe wangu wa milele X2
Kolo kolola, mama kolola kolola X2

Lizzy soma hayo maandishi ila yaache kama yalivyo maana anakuita mama kolola wakati wewe unaitwa lizzy
 
Sio kwamba atakuwa anakuhonga bali atakuwa anakupa ili kukupoza na machungu utakayokuwa nayo ilihali umsahau kabisa wewe lizzy humjui

Anayosema nitonye yana ukweli Lizzy? Please naomba unijibu, nina pressure ya kushuka.
 
Back
Top Bottom