Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hahahaha. . . yani unataka nimdondokee mwingine zaidi ya Gentleman? We kakondoo wewe. . . . sasa sintakua mama mchungaji alae makondoo?Lolz

Najua sana. . .yani we andaa kingilio na soda yako.

hujui kama magentleman wapo wengi?? Tena mwingine nipo nae hapa, wewe kuwa specific ......hata washawasha nae ni gentleman....lol!! Hahahah hela ya kiingilio nishakula kachori, ya soda yenyewe nishainywea sayona looongi nasubiri kulog out hadi mnisahau!!!
 
hujui kama magentleman wapo wengi?? Tena mwingine nipo nae hapa, wewe kuwa specific ......hata washawasha nae ni gentleman....lol!! Hahahah hela ya kiingilio nishakula kachori, ya soda yenyewe nishainyea sayona looongi nasubiri kulog out hadi mnisahau!!!

Hahahaha. . . hao ni gentlemen majina tu, yule ndo wa ukweee. . . wa ukweli.

Hahaha. . . sasa ndio nini hivyo? Basi ntakulipia.
 
Hahahaha. . . hao ni gentlemen majina tu, yule ndo wa ukweee. . . wa ukweli.

Hahaha. . . sasa ndio nini hivyo? Basi ntakulipia.

Wewe unavunja spirit za watu tu hapa, gentleman mwenyewe hutaki kumuppraise lol!! Wapo wangapi vile?? Heheh kwa sayona huwa sijizuii, nitume dukani uone ka nitakurudishia chenji sembuse kutunza hela ya kiingilio..!! Alafu mama mchungaji leo hatujakutana mitaa kweli wewe?
 
Hahaha. . . washa feni kidogo.
Umm vitatu, ila tukubaliane kabisa hatutataka wageni kila mara.

Vitatu vichache honey, inatakiwa watoto wetu wawe kila mtoto na chumba chake. Kiwanja chenyewe cha kupewa sasa tujibane ili iweje? Nitapiga marufuku wageni wasitutembelee kila mara. Tufanye vyumba vitano.
 
Back
Top Bottom