Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hahahha. . . wakijisuper glue nawabandua.

Kakondoo kua na dogo basiii. . . .zawadi imechelewa ila inakuja.

hahahaa mpaka uje ukawabandue nadhani ni kaprocess pia! Aliekwambia mi nna dogo nani? Utakoma kuniahidi na zawadi yangu kubwa ni moja tu japo najua hata nikigalagala sitoipata!!
 
Nawamwagia maji ya moto. . . watajitoa wenyewe.

Hahaha. . . tulia bana kakondoo. Just give me time. . Hiyo zawadi mbona utaichoka mwenyewe.
 
Hahahaha. . . mwenyewe kakataa. Hataki nipate shida.

Nimeona mwenyewe ana wasiwasi, hataki ukanyage vumbi usije haribu gradieta zako buree!! Heheh ukipelekwa hiyo sehemu special naomba lift walau ntakuwa nakuchana hata kope!!
 
Nna wasiwasi na wewe
 
Nawamwagia maji ya moto. . . watajitoa wenyewe.

Hahaha. . . tulia bana kakondoo. Just give me time. . Hiyo zawadi mbona utaichoka mwenyewe.

mbona hapa hujawamwagia hadi wamegongana?? Hahahah mie zawadi yangu ni moja tu wala haihitaji muda coz najua iko available muda mrefu ila tu umeamua kunibania!!!
 
Nimeona mwenyewe ana wasiwasi, hataki ukanyage vumbi usije haribu gradieta zako buree!! Heheh ukipelekwa hiyo sehemu special naomba lift walau ntakuwa nakuchana hata kope!!
Hahaahha. .
We kakondoo hujatulia kabisa. Haya ntakuchukua uwe unanisomea na kunijibia post na PM.

mbona hapa hujawamwagia hadi wamegongana?? Hahahah mie zawadi yangu ni moja tu wala haihitaji muda coz najua iko available muda mrefu ila tu umeamua kunibania!!!
Hehehehe. . . .hapa bado bado muda. Ngoja niweke mambo sawa.

Zawadi inakuja kakondoo. . . .ondoa shaka.
 
Back
Top Bottom