Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Kwahiyo shida ni mimi na sio wenzako watakaonitokea/fagilia hata mbele yako?
Wao kukusifia sio tatizo kwangu but are u gonna be carried away by hizo sifa?
 
Hahaahha. .
We kakondoo hujatulia kabisa. Haya ntakuchukua uwe unanisomea na kunijibia post na PM.

Nashukuru sana mama mchungaji, ngoja nimtaarifu invisible asijefuta hapa!!
Hehehehe. . . .hapa bado bado muda. Ngoja niweke mambo sawa.

Zawadi inakuja kakondoo. . . .ondoa shaka.

Haya bana, ila nawe uwe unawadondokea kwa majina japo mara moja moja sio kusema 'gentleman' tu......lolzz!!! Poa bana nasubiri niongezeke uzito aje kupiga show(hio ndo zawadi kubwa)!!
 
Haya bana, ila nawe uwe unawadondokea kwa majina japo mara moja moja sio kusema 'gentleman' tu......lolzz!!! Poa bana nasubiri niongezeke uzito aje kupiga show(hio ndo zawadi kubwa)!!

Hahahaha. . . yani unataka nimdondokee mwingine zaidi ya Gentleman? We kakondoo wewe. . . . sasa sintakua mama mchungaji alae makondoo?Lolz

Najua sana. . .yani we andaa kingilio na soda yako.
 
heeh...... umetisha!! Hivi wakuruta washamaliza kupasafisha?

Ndo wanamalizia, bado nahangaikia maswala ya hati, hadi week ijayo kila kitu kitakuwa poa. Kama Lizzy akinikubali mtakuwa mnakuja mabwepande kumtembelea shemeji/wifi yenu.
 
Back
Top Bottom