Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Wasiwasi wako tu, haibiwi mtu sana sana wataiga tu na wenyewe kuweka mabango!! Dah....hata kama ni ubahili ndugu yangu sio hivo, we saizi yako besti ili uwe unamuonea vizuri!! Hahahah nikimbahatisha tena nitamsalimia!

Weeee sitaki kuhatarisha kumpoteza GentoMeni wangu. . ntaishia kumwambia tu kisirisiri. Hahahaha yani 50 unaona ndogo? Haya sema unataka ngapi. . . !!
 
Aiseehh. . . sintachoka kwa hiyo mizunguko jamani?
Kuna chopper maalum kwa kazi hiyo mama yaani ni kama kutoka Njiro kwenda mjini (kwa wale wa A town) vile au Kapri point kwenda mjini (kwa wale wa Mwanza) au area D kwenda mjini (kwa wale wa Dom) Upanga kwenda Posta (kwa wale wa Dar) huku unafanya utalii wa anga malkia
 
Mi nikitoka tu Bugaloo mpaka BP nimechoka we unaongelea mjini? Niandalie bana breakfast nyumbani.
 
Ofcoz breakfast ya leo ni humu humu kwa KASRI letu wala usijali u won't have to go anywhere
 
hii pozi ya avatar yake yaonyesha ni mtu aliyejaa busara kihaswa..................ukiongeza na makala zake nyingi huwa zimejaa mafunzo au maswali yenye kuhoji masuala yenye busara.............I like her too..........
 
Now that's more like it. .
Nikimaliza naweza nikarudi kulala?
Waeza rudi kulala malkia, je wataka kutumia ac wakati umelala au servants wakupepee?
 
hii pozi ya avatar yake yaonyesha ni mtu aliyejaa busara kihaswa..................ukiongeza na makala zake nyingi huwa zimejaa mafunzo au maswali yenye kuhoji masuala yenye busara.............I like her too..........
Welcome to the World brother
 
hii pozi ya avatar yake yaonyesha ni mtu aliyejaa busara kihaswa..................ukiongeza na makala zake nyingi huwa zimejaa mafunzo au maswali yenye kuhoji masuala yenye busara.............I like her too..........

Sweet. . . Ahsante Ruta.

@Jr AC ntapata mafua, wanipepee.
 
Weeee sitaki kuhatarisha kumpoteza GentoMeni wangu. . ntaishia kumwambia tu kisirisiri. Hahahaha yani 50 unaona ndogo? Haya sema unataka ngapi. . . !!

Haya bana.....najua ipo siku utaachana na mambo ya siri tu!!!
hallaa hallaaa.....sh 50 ndogo, nataka hela ya chips......lollzzzz!
 
Ndo raha yako ehhh? Kweli kakondoo kanakaribia kuwa kondoo. Lolz

Hahahahaaa nafurahi kumuona mama mchungaji anavojiuma uma.....!!!
Kakondoo katabaki kuwa kakondoo tuu, takufata popote utapokwenda na biblia yangu mkononi!!
 
Chezea malkia wewe..... utalala hoi babuuu!!
Utasema ndio mpaka basiiii....lol1
Hahahahaaa kuna Ndiyo na ndio................kati ya hizo mbili............
 
Back
Top Bottom