Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

kwamba we waweza kunipenda mimi kwa bahati mbaaya? Au labda mtarajiwa wako anaweza kumdondokea matron wako? Kitu kama hicho si ndiyo?
Mh hizo imaginations zako....
 
kawaida maharusi huwa na best man na matron.. Sasa kioja chako na mtarajiwa wako ndo nauliza sababu zake,nawe waniuliza tena Musimo? Sijaeleweka kwani?
 
kawaida maharusi huwa na best man na matron.. Sasa kioja chako na mtarajiwa wako ndo nauliza sababu zake,nawe waniuliza tena Musimo? Sijaeleweka kwani?

Kwahiyo kwasababu tu mmezoea basi tufuate mkumbo? Sisi sio wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…