Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
waislam wameuziana na waislamu wenzao. Huyu mzanzibari alikuwa na haki ya kuiuza Tanganyika kwani hana uchungu nayo. Let Zanzibar go.
Kwani miaka 99 imeisha Mkuu? Mkuu hata Serengeti kuna kipande waliuziwa wazungu wa Singita kwa muda wa miaka 99
Mkuu Father of All bado kabisa tokea imeuzwa haijafikisha miaka 50 na mkataba ni miaka 99 labda tusubiri 2015 CDM watafanyaje kwenye hii mikataba
Si kabla ya miaka 99. Haka kazee kalituibia sana. Jana kalikuwa mahakamani kakitoa ushahidi baada ya kulizwa kodi za nyumba kalizojenga kwa pesa ya wizi. Sijui vizee kama hiki tunavilipa pensheni kwa ujambazi viliotufanyia au kwa lipi!Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
Mkuu Zomba,asante kwa ufafanuzi ndio dawa yao hawa wanafiki wanasahau wao wanavyouza utu wao kwa Sabodo.Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.
ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 – 2018 was concluded in September, 2011...
Kama anamiliki kisheria tatizo liko wapi au kwa kuwa ni mwarabu?Kwa mjibu wa habar nilizonazo pamoja na eye witness, mwarabu bado anamiliki hilo eneo, na yule jamaa hua haui wanyama bali mara nying hukamata wazma na kwenda nao uarabun!......ntakuja na mkasa kamili
Heshima yako Mkuu vipi kesi ako kuna dalili zozote ya kupata pesa yako? maana huyo uliyemshitaki ataishia kuwekwa ndani tu na sio kupata pesa yako vipi biashara zingine au ndio haziendi vizuri?watu wana tamba kwenye utawala wangu nilifanya hiki au kile, kumbe kutamba kwenye kulitokana na kuuza nchi au kipande cha nchi, ipo haja mikataba ya namna hii, iwe ina pitiwa na wabunge, na wananchi waelewe kinachoendelea