Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Ni jeshi tu ndilo litatukomboa kutoka katika mikono ya hawa mashetani
Jeshi lipi lenye uthubutu wa kufanya hivyo? Hukuona mkuu wao aliyepita alivyojipendekeza kwa mteuzi mpya hadi kutaka kutamka ya sirini huku akigusia kuhusu "kimemo" kwenye kadamnasi?
 
Vilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi.!mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC.Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi.Kaendeleza ya baba ndio maana kauza bandari ya Malindi na kupewa his...
Ni familia ya manyani hio
 
Hiyo kashfa ilivuma sana enzi hizo kama Loliondo gate kwenye magazeti ya Motomoto na Mfanyakazi mwandishi wa habari za uchunguzi akiwa ni Stan Katabalo, nilisoma na kufuatilia sana habari za kashfa hiyo miaka hiyo nikiwa mtoto wa shule ya msingi/sekondari. Ni hivi majuzi hamisha hamisha ya wananchi huko ikanikumbusha kashfa hiyo kumbe iliendelezwa na wananchi wanahamishwa kupisha mwekezaji huyo. Kashfa hiyo ilivuma sana kisha ikapotea, ikaibuka tena
 
Vilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi.!mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC.Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi.Kaendeleza ya baba ndio maana kauza bandari ya Malindi na kupewa hisa


NB:
Wamarekani wana kitu kinaitwa classified information yaani taarifa fulani kwa watu fulani kwa kipindi fulani.. Hawana kitu kinaitwa TOP SECRET! Kwakuwa binadamu hawakuumbwa kutunza siri na hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja

Kwahiyo kwa wamarekani ikipita kipindi fulani jambo fulani ambalo kwa wakati wake lilijulikana kwa wachache huachiwa lijulikane kwa jamii ili kulifisha mazima!

Hayati rais mstaafu Benjamin W. Mkapa aliiga staili hii ya Wamarekani kwenye kitabu cha historia ya maisha yake pale alipokiri CCM kuiba USD 500 million kwa ajili ya uchaguzi mkuu nadhani wa 2005!

Suala la kuuzwa kwa Loliondo bado linaiandama familia ya rais mstaafu mzee Ally Hasani Mwinyi ambapo biashara hiyo ilifanyika wakati akiwa rais na iligharimu roho za watu akiwepo mwandishi wa habari mmoja maarufu

Ukimya wa hii familia juu ya hili jambo utazidisha minong'ono mingi zaidi.. Ni wakati wa kuvunja ukimya sasa.. Ili jamii ijue ninini kwa hakika kilitokea na mambo yaishe!View attachment 2731687
Na mtoto ana kipande chake huko cha kilomita za mraba elfu 60.
Naomba niishie hapo
 
Write your reply...kuna jambo sijaelewa hapo.sijaona faida ya hz rasimali zetu zaidi zpo kwaajili ya kundi fulani.hosp tunajenga wenyewe kwa michango yetu shule pia, bdo kodi tunalipa.umaskini uko pale pale ,hzo sekta michango yao kwnye bajeti bdo ni kuduchu.bora iuzwe ili ziboreshwe
 
Back
Top Bottom