Nyakipambo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 435
- 141
Mwinyi mnafiki sana hivi kwani hakuwauzia hao waarabu mbuga ya Saadan akaja kuuza huku kwetu kwa machalii? Siku ikifika lazima niwaf*** hao waarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo tu kajenga ya kudumu. Amewatimua vile vile na kuwachomea vibanda vyao Wamasai ambao wameishi huko karne na karne.Yule MZUNGU WA SINGITA ANAYE MILIKI KIPANDE CHA HIFADHI KULE SERENGETI anamiliki kwa miaka 99 na Kile si kitaru cha UWINDAJI, yeye hawindi bali anahifadhi yake YENYE ZAIDI YA HEKARI 1000. hiyo ya miaka MITANO MITANO NI DANGANYA TOTO, KWANI TANGIA MWARABU AMILIKISHWE IMEISHA MIAKA MINGAP? Na kama ni miaka 5 mbona Kajenga na majumba ya kudumu?
Tanzania inabidi tugombanie uhuru wetu kwa sasa.
ila swali naomba mwenye OFFICIAL information tu ajibu, siasa pembeni kwanza
- je vitalu vya uwindaji vilivyotolewa kwa miaka 99 vimewahi kuwa vingapi hadi sasa? je kati yao kuna ambavyo vimerudishwa kwa sababau yoyote? yani kurevoke leseni au kibali/ hati au ruhusa?
- je kuna vitalu vya mbuga/mapori ya hifadhi kwa muda mwingine licha ya miaka 99 ni vipi?
- je sheria za kumilikisha zimepokelewa na wanaofahamu haya mambo au bado kuna zogo kama zilivyo sheria zingine za rasilimali zetu?
Mkuu Zomba,asante kwa ufafanuzi ndio dawa yao hawa wanafiki wanasahau wao wanavyouza utu wao kwa Sabodo.
waislam wameuziana na waislamu wenzao. Huyu mzanzibari alikuwa na haki ya kuiuza Tanganyika kwani hana uchungu nayo. Let Zanzibar go.
Ritz,Mkuu hawa jamaa wana chuki binafsi tu, mbona hawahoji Mkapa kuwauzia Wazungu Migodi ya Getia, Buzwagi, Kahama, mkataba una miaka 99.
I hate CCM, I hate Kikwete, I hate Mwinyi, I hate Mkapa and I love Nyerere
Nyamaza kabisa; Loliondo haijakodishwa kama kitalu , iliuzwa!!! Tofautisha vitu hivyo viwili. Ukome kutetea upuuzi.Ukodishwaji wa vitalu ni kwa mujibu wa sheria na taratibu ilizojiwekea serikali kwa wenye sifa na vigezo kukodishwa,sasa kama wewe huna sifa usilete chuki endelea kukazana ili na wewe upate.
Zomba Grumeti Reserve na Loliondo si hunting Block km unavyodhani ingawa pia wanafanya hunting.Hawa jamaa wana mamlaka yao ambayo hata askari wetu wa wanayama pori wala watembeza watalii hawaingii.Kwa ujumla ni ubalozi fulani.Sasa ukisema balozi anakaa miaka 5 au 4 , halafu ukataka tuamini kuwa na Jengo la ubalozi linamilikiwa miaka hiyo, utapata shida elezea ni kwanini Ubalozi wa marekali umejengwa wa kudumu vile.
Kwa ujumla hao jamaa wana kila kitu chao, wana mpaka airstrips zao, wana askari wa wanyapori wao na watalii wao wanaoingia ktk maeneo yao na mengine ila wa wengine hawapiti maeneo yao.
Watu wa dar hamuujui utalii kama ilivyo kwa dhaifu na wengine ila kwa kujidai wajuaji n akuharibu mipango ya nchi mpo juu.Hao wanokodi vitalu kamuulize dr.leak yule mcahmbuzi wa mpira ndio kazi zake hizo.
Nimekuwekea listi huko juu. Soma, huwa sikisii. Hunting blocks zote wana askari wao wa ulinzi, hat kwangu nna askari wangu wa ulinzi, hata mbowe ana askari wake wa ulinzi. Usitake ku dramatize kama vile kuwa na askari wa ulinzi ni kitu cha ajabu sana.
Tanzania tuna makampuni kibao ya ulinzi kutoka nje (askari wa kukodi), kama una fedha yako ni mambo madogo sana hayo na yanakubalika kisheria, kama ulikuwa hujui.
Mkuu hawa jamaa wana chuki binafsi tu, mbona hawahoji Mkapa kuwauzia Wazungu Migodi ya Getia, Buzwagi, Kahama, mkataba una miaka 99.
halafu hizi sera za mwekezaji atafanya hiki na kile , naona lazima tuziache tumpe mtu fungu analotakiwa kutoa basi, kutegemeana na inflation nk, ndio hayo hayo ya kilimanjaro airport ( Kadco) wanapangisha kwa usd 1,000.00 kwa mwezi eti wataboresha uwanja nk, kumbe hata wakiimarisha au kujenga majengo hukawi kuambiwa ni mali yao binafsi wakiondoka tuwalipe, halafu bei yake na inflation etc zinawekwa, ili iwe ngumu kuwatoa.Lkn wakuu, koleo tuite koleo...wakati nikiwa bado "mwanazuoni" nilijiandaa kufanya shari kupinga kitendo cha "kuuzwa" loliondo...pia kupinga kitendo cha kuanza kulipia gharama za masomo ya elimu ya juu...lkn..haikuwa hivyo...kwanza pamoja na ufisadi uliokuwepo ktk zoezi zima la "shughuli ya loliondo" kwanza tukikosea tafsiri ya zoezi zima..loliondo ilikodishwa kwa shughuli za uwindaji tu...! na tena kwa kufuata sheria za uwindaji za jamhuri ya muungano..."muarabu hatakiwi kufanya chochote nje ya uwindaji...(ingawa inawezekana kiufisadi, hilo haliko hivyo)..na pia alitakiwa kusaidia maendeleo ktk eneo hilo(kujenga shule, kliniki, mahakama za mwanzo nk.)...kuboresha barabara nk..ilikodishwa kwa kipindi cha miaka 99. na kwa "sayansi ya kiuchumi" ilikuwa ni sawia kufanza vile....kwamba mwinyi aliiuza loliondo ....hiyo si tafsiri sahihi ya zoezi zima...juu ya ufisadi wa zoezi zima la loliondo...nachelea kuchangia..sina ushahidi..(na ningekuwa nao ningesimama mahakamani kwa style ya "mchungaji mt" kupinga ufisadi huo nakudai haki ya motherland..mwenye ushahidi kamili ..tafadhali...let's fight for the motherland, regardless to where u stand politically...lord almight guide and guards all patriotic frontliners in the (pure) struggle for the good of the best place of the planet....the only one...jamhuri ya muungano....
Haiko mbinguni ila hatutaki kuchanganya madesa,usituchanganye bure.
Haiko mbinguni ila hatutaki kuchanganya madesa,usituchanganye bure.
Kumbe wewe ulivyosoma heading ulikumbuka ulivyoenda kwa babu bila imani.kumbe haiko mbinguni nafikiri umeisoma hiyo post ya Angel msofe , inabidi wakati mwengine usikurupuke tu utulie kama maji ya mtungini maana hapa hatuko Loliondo kwa babu
Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.
ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 2018 was concluded in September, 2011.
The results were published through mass media in September, 2011. It was reported that, 60 companies were allocated with hunting blocks. Out of those a total of 51 companies were local (85%) and 9 were foreign (15%). The current allocation was done in conformity with the requirements of section 39 (3) (b) of Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009.
Soma zaidi: ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS IN TANZANIA