Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Mwinyi mnafiki sana hivi kwani hakuwauzia hao waarabu mbuga ya Saadan akaja kuuza huku kwetu kwa machalii? Siku ikifika lazima niwaf*** hao waarabu
 
Loliondo haiko TZ, hata ambulance wanazotumia zina Reg No za Urabun! Juzijuzi tu mtoto wa mfalume kashusha BMW mpya za kutosha, mkuru kazipokelea mbugan, cjui kama TRA wanalijua hili
 
Yule MZUNGU WA SINGITA ANAYE MILIKI KIPANDE CHA HIFADHI KULE SERENGETI anamiliki kwa miaka 99 na Kile si kitaru cha UWINDAJI, yeye hawindi bali anahifadhi yake YENYE ZAIDI YA HEKARI 1000. hiyo ya miaka MITANO MITANO NI DANGANYA TOTO, KWANI TANGIA MWARABU AMILIKISHWE IMEISHA MIAKA MINGAP? Na kama ni miaka 5 mbona Kajenga na majumba ya kudumu?
Siyo tu kajenga ya kudumu. Amewatimua vile vile na kuwachomea vibanda vyao Wamasai ambao wameishi huko karne na karne.
 
Tanzania inabidi tugombanie uhuru wetu kwa sasa.

ila swali naomba mwenye OFFICIAL information tu ajibu, siasa pembeni kwanza
- je vitalu vya uwindaji vilivyotolewa kwa miaka 99 vimewahi kuwa vingapi hadi sasa? je kati yao kuna ambavyo vimerudishwa kwa sababau yoyote? yani kurevoke leseni au kibali/ hati au ruhusa?
- je kuna vitalu vya mbuga/mapori ya hifadhi kwa muda mwingine licha ya miaka 99 ni vipi?
- je sheria za kumilikisha zimepokelewa na wanaofahamu haya mambo au bado kuna zogo kama zilivyo sheria zingine za rasilimali zetu?

Zomba anasema kuwa vitalu hutolewa kwa miaka mitano. Sasa ni miaka mingapi tangu Mwinyi aondoke mamlakani?
 
Mkuu Zomba,asante kwa ufafanuzi ndio dawa yao hawa wanafiki wanasahau wao wanavyouza utu wao kwa Sabodo.

Mkuu hawa jamaa wana chuki binafsi tu, mbona hawahoji Mkapa kuwauzia Wazungu Migodi ya Getia, Buzwagi, Kahama, mkataba una miaka 99.
 
waislam wameuziana na waislamu wenzao. Huyu mzanzibari alikuwa na haki ya kuiuza Tanganyika kwani hana uchungu nayo. Let Zanzibar go.

Hakuuza mbuga kama muumini wa dini fulani, aliiuza kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kwa mustakabali ya nchi hii wakati wa chama kimoja, naye akafanya ndivyo sivyo, period!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu hawa jamaa wana chuki binafsi tu, mbona hawahoji Mkapa kuwauzia Wazungu Migodi ya Getia, Buzwagi, Kahama, mkataba una miaka 99.
Ritz,
Suala lilikuwa ni mbuga na wala si migodi. Na uuzaji huo hakufanya Mkapa peke yake. Walishirikiana na Kikwete.
 
Ukodishwaji wa vitalu ni kwa mujibu wa sheria na taratibu ilizojiwekea serikali kwa wenye sifa na vigezo kukodishwa,sasa kama wewe huna sifa usilete chuki endelea kukazana ili na wewe upate.

Nyamaza kabisa; Loliondo haijakodishwa kama kitalu , iliuzwa!!! Tofautisha vitu hivyo viwili. Ukome kutetea upuuzi.
 
Zomba Grumeti Reserve na Loliondo si hunting Block km unavyodhani ingawa pia wanafanya hunting.Hawa jamaa wana mamlaka yao ambayo hata askari wetu wa wanayama pori wala watembeza watalii hawaingii.Kwa ujumla ni ubalozi fulani.Sasa ukisema balozi anakaa miaka 5 au 4 , halafu ukataka tuamini kuwa na Jengo la ubalozi linamilikiwa miaka hiyo, utapata shida elezea ni kwanini Ubalozi wa marekali umejengwa wa kudumu vile.

Kwa ujumla hao jamaa wana kila kitu chao, wana mpaka airstrips zao, wana askari wa wanyapori wao na watalii wao wanaoingia ktk maeneo yao na mengine ila wa wengine hawapiti maeneo yao.

Watu wa dar hamuujui utalii kama ilivyo kwa dhaifu na wengine ila kwa kujidai wajuaji n akuharibu mipango ya nchi mpo juu.Hao wanokodi vitalu kamuulize dr.leak yule mcahmbuzi wa mpira ndio kazi zake hizo.

Nimekuwekea listi huko juu. Soma, huwa sikisii. Hunting blocks zote wana askari wao wa ulinzi, hat kwangu nna askari wangu wa ulinzi, hata mbowe ana askari wake wa ulinzi. Usitake ku dramatize kama vile kuwa na askari wa ulinzi ni kitu cha ajabu sana.

Tanzania tuna makampuni kibao ya ulinzi kutoka nje (askari wa kukodi), kama una fedha yako ni mambo madogo sana hayo na yanakubalika kisheria, kama ulikuwa hujui.
 
WAKUU CHA KUSIKITISHA HUKO LOLIONDO HATA MTANDAO WA SIMU NI WA UARABUNI. Yaani ni full REPUBLIC OF SAID ARABIA. Na Hawa watu wana mtambo wa AJABU SANA, ukiingia kwenye Himaya yao ukiwa na SIMU iko ON salio linafyonzwa lote na hii ni Ili usije kipiga simu okiwa kwenye himaya yao
 
Nimekuwekea listi huko juu. Soma, huwa sikisii. Hunting blocks zote wana askari wao wa ulinzi, hat kwangu nna askari wangu wa ulinzi, hata mbowe ana askari wake wa ulinzi. Usitake ku dramatize kama vile kuwa na askari wa ulinzi ni kitu cha ajabu sana.

Tanzania tuna makampuni kibao ya ulinzi kutoka nje (askari wa kukodi), kama una fedha yako ni mambo madogo sana hayo na yanakubalika kisheria, kama ulikuwa hujui.

Naona umeamua pandisha kichaa kabisa.Ila hao askari wako huwa hawazuii askari wa serikali kufanya kazi,ikiwepo kupekua ndani kwako.Wale askari wa wanyama pori wamewekwa kisheria kufany akazi katika mali asili zilizopo ndani ya jamhuri ya muunganowa TZ.Sasa grumeti na loliondo zipo wapi?Mbona hawa askari hawaruhusiwi ingia?Unaleta ubishi wa HIV /AIDS,ndio nyinyi mlitaka mfunga Mtikila kwa kusema baba wa Taifa alikuwa Ukimwi,bila kujua upungufu wa kinga unaweza sababishwa na vitu vingi zaidi ya HIV.Na kwa mwalimu likuwa kansa ya damu.

Hata wale asakri wa ubalozi wa marekani ni askari,ila ndani ya lile jengo ni mamlaka ya marekani ndio inaperate.Hakuna askari wa JMT au hata rais anaweza ingia bila kuvunja sheria.Nadhani pamoja na kuupenda ulemavu wa akili bado unaweza ona tofauti.
 
Mkuu hawa jamaa wana chuki binafsi tu, mbona hawahoji Mkapa kuwauzia Wazungu Migodi ya Getia, Buzwagi, Kahama, mkataba una miaka 99.

Kwani grumeti na wengine ni nani?Unaweza thibitishwa kuwa mkapa hajaonja joto ya jiwe ya malalamiko ya mikataba ya madini na mingine?Hujasikiliza bunge na kusoma magazeti yote hayo yaliyohoji hadi Kiwira na kwingineko?Hujasikia hadi watu walitaka kinga iondolewe ili apigwe kizimbani?Kweli umekuwa laini kama nyama ya maini kifikra.
 
Lkn wakuu, koleo tuite koleo...wakati nikiwa bado "mwanazuoni" nilijiandaa kufanya shari kupinga kitendo cha "kuuzwa" loliondo...pia kupinga kitendo cha kuanza kulipia gharama za masomo ya elimu ya juu...lkn..haikuwa hivyo...kwanza pamoja na ufisadi uliokuwepo ktk zoezi zima la "shughuli ya loliondo" kwanza tukikosea tafsiri ya zoezi zima..loliondo ilikodishwa kwa shughuli za uwindaji tu...! na tena kwa kufuata sheria za uwindaji za jamhuri ya muungano..."muarabu hatakiwi kufanya chochote nje ya uwindaji...(ingawa inawezekana kiufisadi, hilo haliko hivyo)..na pia alitakiwa kusaidia maendeleo ktk eneo hilo(kujenga shule, kliniki, mahakama za mwanzo nk.)...kuboresha barabara nk..ilikodishwa kwa kipindi cha miaka 99. na kwa "sayansi ya kiuchumi" ilikuwa ni sawia kufanza vile....kwamba mwinyi aliiuza loliondo ....hiyo si tafsiri sahihi ya zoezi zima...juu ya ufisadi wa zoezi zima la loliondo...nachelea kuchangia..sina ushahidi..(na ningekuwa nao ningesimama mahakamani kwa style ya "mchungaji mt" kupinga ufisadi huo nakudai haki ya motherland..mwenye ushahidi kamili ..tafadhali...let's fight for the motherland, regardless to where u stand politically...lord almight guide and guards all patriotic frontliners in the (pure) struggle for the good of the best place of the planet....the only one...jamhuri ya muungano....
 
Lkn wakuu, koleo tuite koleo...wakati nikiwa bado "mwanazuoni" nilijiandaa kufanya shari kupinga kitendo cha "kuuzwa" loliondo...pia kupinga kitendo cha kuanza kulipia gharama za masomo ya elimu ya juu...lkn..haikuwa hivyo...kwanza pamoja na ufisadi uliokuwepo ktk zoezi zima la "shughuli ya loliondo" kwanza tukikosea tafsiri ya zoezi zima..loliondo ilikodishwa kwa shughuli za uwindaji tu...! na tena kwa kufuata sheria za uwindaji za jamhuri ya muungano..."muarabu hatakiwi kufanya chochote nje ya uwindaji...(ingawa inawezekana kiufisadi, hilo haliko hivyo)..na pia alitakiwa kusaidia maendeleo ktk eneo hilo(kujenga shule, kliniki, mahakama za mwanzo nk.)...kuboresha barabara nk..ilikodishwa kwa kipindi cha miaka 99. na kwa "sayansi ya kiuchumi" ilikuwa ni sawia kufanza vile....kwamba mwinyi aliiuza loliondo ....hiyo si tafsiri sahihi ya zoezi zima...juu ya ufisadi wa zoezi zima la loliondo...nachelea kuchangia..sina ushahidi..(na ningekuwa nao ningesimama mahakamani kwa style ya "mchungaji mt" kupinga ufisadi huo nakudai haki ya motherland..mwenye ushahidi kamili ..tafadhali...let's fight for the motherland, regardless to where u stand politically...lord almight guide and guards all patriotic frontliners in the (pure) struggle for the good of the best place of the planet....the only one...jamhuri ya muungano....
halafu hizi sera za mwekezaji atafanya hiki na kile , naona lazima tuziache tumpe mtu fungu analotakiwa kutoa basi, kutegemeana na inflation nk, ndio hayo hayo ya kilimanjaro airport ( Kadco) wanapangisha kwa usd 1,000.00 kwa mwezi eti wataboresha uwanja nk, kumbe hata wakiimarisha au kujenga majengo hukawi kuambiwa ni mali yao binafsi wakiondoka tuwalipe, halafu bei yake na inflation etc zinawekwa, ili iwe ngumu kuwatoa.
 
suali kutoka kwa mtoa hoja ni
By Angel Msoffe

nyamazia hapo hapo wala usiongeze neno ukanitibua nyongo bure,amiliki kisheria ni uarabuni hapa? Hii ni Tanzania na ardhi yk ni mali ya Watanzania.

suali kwako findu fiki

kwani migodi ipo mbinguni ???
Haiko mbinguni ila hatutaki kuchanganya madesa,usituchanganye bure.
 
Haiko mbinguni ila hatutaki kuchanganya madesa,usituchanganye bure.

kumbe haiko mbinguni nafikiri umeisoma hiyo post ya Angel msofe , inabidi wakati mwengine usikurupuke tu utulie kama maji ya mtungini maana hapa hatuko Loliondo kwa babu
 
kumbe haiko mbinguni nafikiri umeisoma hiyo post ya Angel msofe , inabidi wakati mwengine usikurupuke tu utulie kama maji ya mtungini maana hapa hatuko Loliondo kwa babu
Kumbe wewe ulivyosoma heading ulikumbuka ulivyoenda kwa babu bila imani.
 
Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.

ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 – 2018 was concluded in September, 2011.
The results were published through mass media in September, 2011. It was reported that, 60 companies were allocated with hunting blocks. Out of those a total of 51 companies were local (85%) and 9 were foreign (15%). The current allocation was done in conformity with the requirements of section 39 (3) (b) of Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009.

Soma zaidi: ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS IN TANZANIA


ZOMBA , Tatizo lenu vijana wa LUMUMBA hamsomi kazi yeni kupaste na ku copy na sijuhi mmezaliwa mwaka gani hii story ya juzi tu 99 mara hii umesahau? na ilijirudia mwaka 2009, bado hukumbuki tu?

UAE carves out its own 'territory' in Tanzania


ALVAR MWAKYUSA
Dar es Salaam

'HAVE a pleasant stay in the UAE (United Arab Emirates)', says an automatic text message on your mobile phone once you enter a certain part of Tanzanian territory in Arusha Region, which locals say has now been effectively colonized by “the Arabs.”

The area in question is located within the Loliondo game-controlled area (LGCA), in Ngorongoro District.

Residents of the area say all local mobile phone networks have somehow been blocked in favour of the UAE's Etisalat telecoms company. They say they can't make calls through the local networks because of lack of a signal.

They say they are forced to log into some strange codes, and end up being charged very high rates to make local phone calls as if they were making international calls.

“Dear guest, welcome to the UAE (United Arab Emirates). Enjoy the best network coverage and other unmatched services only with Etisalat. Have a pleasant stay in the UAE,” states the text message that greets visitors near a safari camp owned by the UAE-based Ortello Business Corporation, at a place refereed to by the locals as 'Arabiya.'

Locals say the area actually resembles a foreign colony within Tanzanian borders, with members of the police Field Force Unit (FFU) providing 24-7 security to the camps where unauthorized visits are strictly forbidden.

A fleet of off-road vehicles can be seen roaming the area, some of them bearing number plates with Arabic inscriptions or just blank plates with no numbers at all.

In the heart of the arid plains of Ngorongoro District, the UAE investor also has a number of trucks providing clean water to camps operated by OBC.

OBC was registered as an international company incorporated in the British Virgin Islands. It is owned by UAE army major general Mohamed Abdul Rahim Al Ali, and started its operations in Tanzania in 1992 when the government granted it a 10-year hunting concession for the LGCA hunting block.

With a built-in royal palace included, here is where the king and other members of the UAE royal family, along with and other influential businesspeople, are said to spend leisure time during hunting seasons which start in June each year and last for several months.

They don't even need to use the Julius Nyerere (Dar es Salaam), Kilimanjaro, or Jomo Kenyatta (Nairobi) International Airports; not with a modern airstrip at their disposal right within the hunting block.

A team of local journalists and activists on a fact-finding mission were recently barred from entering a designated VIPs (very important persons) area within the block. After being received by a uniformed FFU policeman at the gate, the team was told to wait so he (the policeman) could consult his “superiors.”

Within minutes, the said “superiors” turned up in a four-wheel Nissan Patrol vehicle with registration number T179 AGX, and after some discussion with the leaders of the 20-plus delegation, they handed over the matter to someone described as the “camp manager.” He neither identified himself nor showed any cooperation with the team.

“I don't have any notification that you would be visiting here, and I thus can't allow you inside. There are rules to follow; you can't just barge into someone's house like this,” said the visibly uneasy “camp manager” as he also made excessive use of his own phone through several incoming and outgoing calls.

As the visiting delegation was leaving the area in their three-vehicle convoy, and probably suspecting that the journalists might be taking photographs along the way, the “camp manager” and two other vehicles - including one carrying a posse of FFU policemen - trailed them for some kilometres in what seemed like a script straight from a Hollywood movie.

Whenever the delegation stopped, they would also stop. After a while, they eased off, though the “camp manager” could be seen still on his phone almost all the time.

A few kilometres to the Loliondo township of Waso, the delegation was stopped by an acting inspector of police, Isaack Manoni, who ironically is the in-charge of the operation to evict the Maasai pastoral community in the area and burn down their kraals.

According to Inspector Manoni his superiors had notified him by phone that a team of activists had caused some chaos and taken photos of the area. The swiftness of the response by the police to OBC's complaints appeared to be a clear indication of the strong influence wielded by the UAE firm over authorities in the area.

Said Manoni: “I have received calls from the DC (district commissioner) and the RC (regional commissioner), that you went into the OBC camp and caused some chaos on top of taking photos. I kindly ask that if you have taken any photos of the camp, you should not publish them.”

The delegation leader told him that no photos were taken at the camp.

The Loliondo game-controlled area is located in Ngorongoro District, Arusha Region. It borders the Ngorongoro highlands to the south, Serengeti National Park to the west, and the Maasai Mara Game Reserve in Kenya to the north, encompassing an estimated area of over 4,000 kilometres.

According to OBC Managing Director Isaac Mollel, the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) is aware of the presence of Etisalat's phone network in the area. “It has been there even before other local networks came in...moreover, Etisalat is a parent company of ZANTEL and therefore I see no problem there,” stated Mollel.

TCRA Publicist Innocent Mungy has recently been quoted as saying the communications watchdog has dispatched its own team to the area to assess the situation.

Source; ThisDay
 
soma na hapa hii ilishajadiliw asan humu,

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...do-the-disturbing-connection-and-secrets.html

Connect them if you can: Loliondo Gate => Yaeda Chini => Dowans and CCM!

What is the connection? There is a connection, a troubling one that is.

In 1992 some UAE royalty became interested in having their own private playground in Loliondo and the already then "investor friendly" government gave them – completely above the heads of local people - the Loliondo Game Controlled Area hunting block. This is a kind of hunting permit, but the OBC constructed an airstrip long enough for jets and several permanent structures. There were allegations of them breaking every hunting law and severe harassment, including murder, of pastoralists. There have been a constant conflict through the years, but in 2007 six of eight villages gave in and signed a "development cooperation contract" with the OBC facilitated by the government to get peace and stability – but of course not justice. Ololosokwan and Maaloni did not sign despite the contract including a fee of 25 million Tsh per year (peanuts for UAE royalty, but not for Loliondo villagers). The contract did read that OBC together with the villages would be coordinating grazing and hunting patterns so that they wouldn't collide. These kinds of meetings never materialized. Instead, in May this year the government sent a letter to the villages telling them to get their cattle out of the OBC operational area. As the villages had the contract with the OBC and not with the government, and as the extreme drought required urgent talks, they didn't reply.

By July 2009:



  • 150 permanent homesteads were burnt
  • 4 goats were burnt to death
  • Food stores were burned and lost
  • 1 young woman was raped
  • Un-recorded numbers of cattle were lost and otherwise eaten by lions
  • 4 children were lost (3 found, 1 still missing)
  • 1 man was knocked over by the OBC vehicle, but luckily survived
  • 12 men were beaten by the police and 3 seriously injured
  • 54,120 cattle were pushed into extreme drought areas with no water or grass
  • 1,753 people lost their home
 
Back
Top Bottom