Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Nyamaza kabisa; Loliondo haijakodishwa kama kitalu , iliuzwa!!! Tofautisha vitu hivyo viwili. Ukome kutetea upuuzi.

Lete ushahidi usitandaze pumba hapa jamvini,nyie si ndio mlisema mzee ruksa kauza kasuku wa ikulu.Dhambi ya ubaguzi itawarudia na Tanzania ya sasa kila mtu anajitambua hakuna tena nafasi ya uzandiki wenu.
 
What is so good about him? to me he was the worst of them all.

Zomba,hata sielewi hawa watu kama amempenda zaidi namshauri akachonge na kinyago chake aweke sebuleni.
 
halafu hizi sera za mwekezaji atafanya hiki na kile , naona lazima tuziache tumpe mtu fungu analotakiwa kutoa basi, kutegemeana na inflation nk, ndio hayo hayo ya kilimanjaro airport ( Kadco) wanapangisha kwa usd 1,000.00 kwa mwezi eti wataboresha uwanja nk, kumbe hata wakiimarisha au kujenga majengo hukawi kuambiwa ni mali yao binafsi wakiondoka tuwalipe, halafu bei yake na inflation etc zinawekwa, ili iwe ngumu kuwatoa.

....ni kweli kamanda...lkn pia huyu tuliemkodisha loliondo kwa miaka 99 tayari kawa mdau wa loliondo...biashara yake na serikali, ni jambo moja...lkn na sisi tunapata nini cha moja kwa moja toka kwake? si baada ya mda fulani wa biashara yake tunataka asilimia fulani ya watumishi wa shughuli zake hapa loliondo wawe ni "native" wa loliondo..?...si atahitaji watu wenye ujuzi na uelewa unaostahiki kwa shughuli yake? tusipombana "mwarabu" tukabaki kutegemea serikali ambayo haikutufanyia lolote la kutosha kwa miaka takribani 21 au 23 tangu uhuru si tutakuwa tumempa sababu mwarabu kutuletea wazanzibar kufanya kazi ktk eneo ambalo kipaumbele cha ajira inastahiki kuwa kwetu...lkn uko sawa kabisa ktk ulilolisema, ila kwa nature ya kilichomleta mwarabu ktk eneo letu...na tumshirikishe ktk kusaidia kuleta maendeleo, ikibidi hata kumshurutisha "kiharakati"....!!
 
Unanikumbusha mmoja wa wapiganaji wa enzi hizo ambaye kwa hizi siku unaweza kidogo ukamlinganisha na Saed Kubenea, the late Stanslaus Katabalo.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi na awape muda zaidi wa kuishi wauaji wake ili washuhudie uzandiki wao katika maisha yao


Alhaj Mwinyi si ni mcha Mungu/Allah, je katika kutimiza wajibu wake hua anaiona ona familia ya marehemu Katabalo?
 
Zamu Ya Magufuli Kuirudisha Hii Mbuga Tanzania
Tunaweza Kununua Ndege Tuwalipe Waarabu Chao Na Kuwatimua Loliondo Haraka
 
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?

Juzi Mwinyi na Lukuvi walikua Ikulu wakijadili hili na Rais wenu.
 
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
Waulizeee akinaa Ngoshaa cc@kigwangala maana naona aliingia kwa mbwembe sanaaa
 
Vilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi. Mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC. Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi. Kaendeleza ya baba ndiyo maana kauza bandari ya Malindi na kupewa hisa

NB: Wamarekani wana kitu kinaitwa classified information yaani taarifa fulani kwa watu fulani kwa kipindi fulani.. Hawana kitu kinaitwa TOP SECRET! Kwakuwa binadamu hawakuumbwa kutunza siri na hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja

Kwahiyo kwa Wamarekani ikipita kipindi fulani jambo fulani ambalo kwa wakati wake lilijulikana kwa wachache huachiwa lijulikane kwa jamii ili kulifisha mazima!

Hayati rais mstaafu Benjamin W. Mkapa aliiga staili hii ya Wamarekani kwenye kitabu cha historia ya maisha yake pale alipokiri CCM kuiba USD 500 million kwa ajili ya uchaguzi mkuu nadhani wa 2005!

Suala la kuuzwa kwa Loliondo bado linaiandama familia ya rais mstaafu mzee Ally Hasani Mwinyi ambapo biashara hiyo ilifanyika wakati akiwa rais na iligharimu roho za watu akiwepo mwandishi wa habari mmoja maarufu

Ukimya wa hii familia juu ya hili jambo utazidisha minong'ono mingi zaidi.. Ni wakati wa kuvunja ukimya sasa.. Ili jamii ijue ninini kwa hakika kilitokea na mambo yaishe!

FB_IMG_1693241488818.jpg
 
Vilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi.!mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC.Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi.Kaendeleza ya baba ndio maana kauza bandari ya Malindi na kupewa hisa


NB:
Wamarekani wana kitu kinaitwa classified information yaani taarifa fulani kwa watu fulani kwa kipindi fulani.. Hawana kitu kinaitwa TOP SECRET! Kwakuwa binadamu hawakuumbwa kutunza siri na hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja

Kwahiyo kwa wamarekani ikipita kipindi fulani jambo fulani ambalo kwa wakati wake lilijulikana kwa wachache huachiwa lijulikane kwa jamii ili kulifisha mazima!

Hayati rais mstaafu Benjamin W. Mkapa aliiga staili hii ya Wamarekani kwenye kitabu cha historia ya maisha yake pale alipokiri CCM kuiba USD 500,000,000,000/= kwa ajili ya uchaguzi mkuu nadhani wa 2005!

Suala la kuuzwa kwa Loliondo bado linaiandama familia ya rais mstaafu mzee Ally Hasani Mwinyi ambapo biashara hiyo ilifanyika wakati akiwa rais na iligharimu roho za watu akiwepo mwandishi wa habari mmoja maarufu

Ukimya wa hii familia juu ya hili jambo utazidisha minong'ono mingi zaidi.. Ni wakati wa kuvunja ukimya sasa.. Ili jamii ijue ninini kwa hakika kilitokea na mambo yaishe!View attachment 2731687
HAWA WATU NI WANYAMA
 
Back
Top Bottom