Vilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi.!mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC.Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi.Kaendeleza ya baba ndio maana kauza bandari ya Malindi na kupewa hisa
NB:
Wamarekani wana kitu kinaitwa
classified information yaani taarifa fulani kwa watu fulani kwa kipindi fulani.. Hawana kitu kinaitwa TOP SECRET! Kwakuwa binadamu hawakuumbwa kutunza siri na hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja
Kwahiyo kwa wamarekani ikipita kipindi fulani jambo fulani ambalo kwa wakati wake lilijulikana kwa wachache huachiwa lijulikane kwa jamii ili kulifisha mazima!
Hayati rais mstaafu Benjamin W. Mkapa aliiga staili hii ya Wamarekani kwenye kitabu cha historia ya maisha yake pale alipokiri CCM kuiba USD 500,000,000,000/= kwa ajili ya uchaguzi mkuu nadhani wa 2005!
Suala la kuuzwa kwa Loliondo bado linaiandama familia ya rais mstaafu mzee Ally Hasani Mwinyi ambapo biashara hiyo ilifanyika wakati akiwa rais na iligharimu roho za watu akiwepo mwandishi wa habari mmoja maarufu
Ukimya wa hii familia juu ya hili jambo utazidisha minong'ono mingi zaidi.. Ni wakati wa kuvunja ukimya sasa.. Ili jamii ijue ninini kwa hakika kilitokea na mambo yaishe!
View attachment 2731687