Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Ni jeshi tu ndilo litatukomboa kutoka katika mikono ya hawa mashetani
Jeshi lipi lenye uthubutu wa kufanya hivyo? Hukuona mkuu wao aliyepita alivyojipendekeza kwa mteuzi mpya hadi kutaka kutamka ya sirini huku akigusia kuhusu "kimemo" kwenye kadamnasi?
 
Ni familia ya manyani hio
 
Hiyo kashfa ilivuma sana enzi hizo kama Loliondo gate kwenye magazeti ya Motomoto na Mfanyakazi mwandishi wa habari za uchunguzi akiwa ni Stan Katabalo, nilisoma na kufuatilia sana habari za kashfa hiyo miaka hiyo nikiwa mtoto wa shule ya msingi/sekondari. Ni hivi majuzi hamisha hamisha ya wananchi huko ikanikumbusha kashfa hiyo kumbe iliendelezwa na wananchi wanahamishwa kupisha mwekezaji huyo. Kashfa hiyo ilivuma sana kisha ikapotea, ikaibuka tena
 
Na mtoto ana kipande chake huko cha kilomita za mraba elfu 60.
Naomba niishie hapo
 
Write your reply...kuna jambo sijaelewa hapo.sijaona faida ya hz rasimali zetu zaidi zpo kwaajili ya kundi fulani.hosp tunajenga wenyewe kwa michango yetu shule pia, bdo kodi tunalipa.umaskini uko pale pale ,hzo sekta michango yao kwnye bajeti bdo ni kuduchu.bora iuzwe ili ziboreshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…